heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
View attachment 146097
Ni zaid ya boss,siyo mtemi..ni rafik,ni kaka yetu ,ni mshauri wetu,na siku zote anapenda aone tunafanikiwa,anatufanya tujione tunaweza kufanya hat yale tuliyojiona hatuwez fanya.siyo mkosoaji bali ni mwalimu tunapokosea..siyo tu boss bali is our good leader..long live ..wasiomfaahm vizuri,wacha waendelee kuongea na kuandika wasiyoyafaham
kwani we na diamond nani mkubwa??
Kwahiyo?
Inatupasa nini sisi?
Kwahiyo?
Inatupasa nini sisi?
Ukubwa upi unazungumzia mkuu?
Subiri kwanza,umesoma heading..kimekupeleka nini kuingia humu???
Ukubwa wa umri
mapambo yapi unazungumziaUkituma post humu inawahusu wana JF wote ndo maana nikakwambia kwahiyo tufanye nini? Maana kuweka thread hapa lazima uwe na lengo nasi ndio maana kwa mara nyingine nakuuliza inatupasa nini?
Hapa jf kama kukufwata tungekuja huko kwa web yenu..
Halafu mtoto wa kiume jikubali kujipamba pamba waachie dada zako...
mapambo yapi unazungumzia
We hujioni?
Kama umejaaliwa sura ngumu jikubali tu...
Acha mashauzi kama ya isha
hahaaaa.... you have a bitter reaction to bullshit.. huyu jamaa kidogo atatueleza eti diamond hajambi.