Diamond ni mfano Mzuri wa Kiongozi na Boss Mwema

Diamond ni mfano Mzuri wa Kiongozi na Boss Mwema

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
2b2c15a0a91911e380b112526226ab9e_8.jpg
Ni zaid ya boss,siyo mtemi..ni rafik,ni kaka yetu, ni mshauri wetu, na siku zote anapenda aone tunafanikiwa,anatufanya tujione tunaweza kufanya hat yale tuliyojiona hatuwezi fanya. Siyo mkosoaji bali ni mwalimu tunapokosea, siyo tu boss bali is our good leader.

Long live, wasiomfaahamu vizuri, wacha waendelee kuongea na kuandika wasiyoyafahamu
 
View attachment 146097
Ni zaid ya boss,siyo mtemi..ni rafik,ni kaka yetu ,ni mshauri wetu,na siku zote anapenda aone tunafanikiwa,anatufanya tujione tunaweza kufanya hat yale tuliyojiona hatuwez fanya.siyo mkosoaji bali ni mwalimu tunapokosea..siyo tu boss bali is our good leader..long live ..wasiomfaahm vizuri,wacha waendelee kuongea na kuandika wasiyoyafaham

Kwahiyo?

Inatupasa nini sisi?
 
We ni nani kijana?tukutambue kwanza!
 
Subiri kwanza,umesoma heading..kimekupeleka nini kuingia humu???

Ukituma post humu inawahusu wana JF wote ndo maana nikakwambia kwahiyo tufanye nini? Maana kuweka thread hapa lazima uwe na lengo nasi ndio maana kwa mara nyingine nakuuliza inatupasa nini?

Hapa jf kama kukufwata tungekuja huko kwa web yenu..

Halafu mtoto wa kiume jikubali kujipamba pamba waachie dada zako...
 
mapambo yapi unazungumzia
 
Shikamoo pesa yaani hata kama umemzid umri utamuita kaka mkubwa tu
 
We hujioni?

Kama umejaaliwa sura ngumu jikubali tu...

Acha mashauzi kama ya isha

hahaaaa.... you have a bitter reaction to bullshit.. huyu jamaa kidogo atatueleza eti diamond hajambi.
 
hahaaaa.... you have a bitter reaction to bullshit.. huyu jamaa kidogo atatueleza eti diamond hajambi.

Hawa dawa yao ni kuwapa makavu tu...

Anafikiri kila mtu simple mind kama yeye....
 
kesho tutaletewa diamondo hanyi wala hakojoi ,nya yake anakunyaga mleta post.
 
Mh jamani basii km ugomvi vile km unaona hayakuhusu au hayana umuhim na ww si ukae kimya tu kuliko hayo maneno magum mnayompa mwenzenu!!
 
Back
Top Bottom