Diamond ni mfano Mzuri wa Kiongozi na Boss Mwema

Diamond ana ubongo gani wa kunifunza leadership style Mimi?

Umekazana na povu mi siwezi tokwa povu kwa wajinga hata siku moja....

Ningekuelewa kama ungerefer hizo sifa zilizosemwa kama unakubaliana nazo au la lakini unaposema siwezi jifunza lolote kutoka kwa Diamond ni kwamba unakubaliana na mimi kuwa unaemchukia ni Diamond na siohizo sifa zilizotolewa. Sasakama huwezi kujifunza kutoka kwa Diamond kuna haja gani ya kufungua thread inayomuhusu?Ushauri wa bure, acha kufungua thread zinazomhusu Diamond, maana hasira nazo zina madhara yake.
 
Kuna unalolitafuta naona toka kwangu...

Wewe unanichagulia thread ya kufungua? Unanifundisha maisha?

Achana nami usije ukaniambukiza akili ndogo nikaishi kama wafu..
 
Kuna unalolitafuta naona toka kwangu...

Wewe unanichagulia thread ya kufungua? Unanifundisha maisha?

Achana nami usije ukaniambukiza akili ndogo nikaishi kama wafu..

Mtumishi wachana nae huyo nataka unisimuliee hivi YESU alisema tukienda mbinguni tutapewa nini alituahid nini
Na watakaochomwa moto ni kina nanii? ?
 
Kuna unalolitafuta naona toka kwangu...

Wewe unanichagulia thread ya kufungua? Unanifundisha maisha?

Achana nami usije ukaniambukiza akili ndogo nikaishi kama wafu..

Kama mfu au mfu tayari. Mimi sijakuchagulia bali umejichagulia wewe mwenyewe kwani umeonyesha huna lakujifunza kutoka kwa Diamond halafu wa kwanza kufungua thread inayomuhusu!Halafu soma vizuri nilivyoandika, nimekushauri na kwa uelewa wangu wa akili yangu ndogo unavyodhania ushauri una hiari ya kuupokea au kuukataa. usiku mwema!
 
Kwahiyo?

Inatupasa nini sisi?

mwanaume mwingine like...... kwani hiyo heading threat haujaielewa na kama anatreat wafanya kazi wake wasimsifie is a good leader tusiwe kila kitu tunapinga tuu.
 
Mwambie basi awe anamjali bibie Wema maana anahangaika zile milion 20 za clement anazimiss kwelii
 
mwanaume mwingine like...... kwani hiyo heading threat haujaielewa na kama anatreat wafanya kazi wake wasimsifie is a good leader tusiwe kila kitu tunapinga tuu.

Nani anapinga?

kwanini apinge? umeelewa swali langu?

nimemuuliza inatupasa nini we unakimbilia kusema tunapinga why? ili iweje?
 
Mtumishi wachana nae huyo nataka unisimuliee hivi YESU alisema tukienda mbinguni tutapewa nini alituahid nini
Na watakaochomwa moto ni kina nanii? ?

Yesu kaahidi uzima wa milele kwa watendao mema...

waendao motoni ni wazinzi....waongo...wevi.....n.k n.k
 
Yesu kaahidi uzima wa milele kwa watendao mema...

waendao motoni ni wazinzi....waongo...wevi.....n.k n.k[/QU

Mbona umeniandikia kifupii! !hivi Yuda eskeriote alisamehewaa na YESU???je mama yake Mariamu alizaa watoto wengine yaan wadogo zake YESU
 
Kuna unalolitafuta naona toka kwangu...

Wewe unanichagulia thread ya kufungua? Unanifundisha maisha?

Achana nami usije ukaniambukiza akili ndogo nikaishi kama wafu..

Shikamoo lusungo
 
Kwa point uliyoizungumza hapo juu na bado kuna dude,linajifanya halielewi,lipigie kimya tu utamaliza maji na damu mwilin bure Mwana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…