Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,439
- 1,962
Diamond ana ubongo gani wa kunifunza leadership style Mimi?
Umekazana na povu mi siwezi tokwa povu kwa wajinga hata siku moja....
Ningekuelewa kama ungerefer hizo sifa zilizosemwa kama unakubaliana nazo au la lakini unaposema siwezi jifunza lolote kutoka kwa Diamond ni kwamba unakubaliana na mimi kuwa unaemchukia ni Diamond na siohizo sifa zilizotolewa. Sasakama huwezi kujifunza kutoka kwa Diamond kuna haja gani ya kufungua thread inayomuhusu?Ushauri wa bure, acha kufungua thread zinazomhusu Diamond, maana hasira nazo zina madhara yake.