Diamond ni mkubwa kuliko Chadema.... Mashabiki wa Chadema mtaaibika na hii kampeni yenu

Status
Not open for further replies.
Mnapiga kelele mitandoni mkiambiwa tuingie road wote mnajifungia ndaniii...!alafu ney wa mitego so anawatosha tuachieni mondi wetu na Mambo yenu ya siasa
 
Kwahiyo unataka kusema bob Marley ndo anaakili sana?
Sijui kama alikuwa na akili Sana au lah! Ila ninachojua ni kwamba CIA walitengeneza mpango maalum wa kumpandikiza Kansa ili afe.

Sasa kama CIA walitaka Bob afe, wewe jiongeze ili upate jibu kama alikuwa na akili ama lah!
 
Diamond huyu huyu ameanza na tatizo kwetu mbagala kaanza juzi juzi hapa amekuwa mkubwa lini?

anyaway NO REFORM NO ELECTION
 
Diamond huyu huyu ameanza na tatizo kwetu mbagala kaanza juzi juzi hapa amekuwa mkubwa lini?

anyaway NO REFORM NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
 
 
Uyo mbona mdogo sana. Wakuturudish nyuma labda simba na yanga. Iyo nikum unfollow Youtube.

View: https://www.instagram.com/reel/DKO6eZNsN6k/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
 
Kinachoendelea Tanzania kwa sasa kimenifanya nielewe kwanini Mandela alikaa gerezani lakini akatolewa na kupatiwa urais
 
Kwan chadema wanataka kufanya nn dhidi ya Mond?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…