View attachment 3359305
Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu.
Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki, baaada ya kupewa maelekezo na saviour wenu mange kimambi.
Haya ni marudio ila kwa kuwa hamnaga kumbukumbu basi mnafikiri mnayo nguvu ya kumshughulikia Diamond na ameshwashinda mara kibao.
Hii kampeni tunajua target ni Diamond ndio anawaumiza kichwa sana viongozi Chadema.
Yani wanachojaribu ni kutaka watu waamishe mapenzi yao kwa Diamond waanze kuwapenda Chadema kina Heche na Lissu 😂😂
Hiki kitu hakiwezi kutokea mnaenda kuaibika kama mtavyoaibika siku y tarehe ya uchaguzi watanzania tutapopanga mistari kupiga kura za ndio kwa viongozi tunaowapenda.
Watanzania wanampenda sana Diamond na umbeya, so hii kampeni yenu sio muda mrefu inaenda kupotea mtashindwa na diamond kwa aibu tunarudi kwenye maisha yetu ya kufurahia mitandao na amani ya nchi.
Tanzania ni nchi ya amani hatutaki chama kinacholazimisha kupendwa. Kila mtu anao uhuru wa kuchagua atakacho.