Diamond ni mkubwa kuliko Chadema.... Mashabiki wa Chadema mtaaibika na hii kampeni yenu

Status
Not open for further replies.
Uyo mbona cha mtoto. Wakutu rudisha nyuma labda simba na yanga. Uyo ni kum unfollow Youtube
Maombi yangu yatimie
 
Naona mnacheza singeli msikitini ndomana nawakumbusha hapa sio mahala pake
Kama siyo mahala pake wewe umefuata nini? Kama hiyo No Reforms No Election umeionea humu jua na wengine pia wataionea humu. Huko barabarani watu wapo bize CCM imeharibu uchumi hadi watu wamechanganyikiwa!
 
FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
 
Eti wanaambizana wamu unfollow, wasisikikize nyimbo zake, wasifatilie habari zak na wasusie biashara zake. ๐Ÿ˜…
Kipind naandik huu uzi ilikua kama ndoto. Sahvi naona inawezekana
 
Huyo "kei" miaka 10+ nyuma nilishawahi kutoa Cha ten changu kwa ajili ya kumpgia kura kwenye mziki wake nadhani zilikuwa zile kil music awards, miaka mbele baadae akajionesha wazi wazi kuyapinga mabadiliko ya watanzania. Hiyo ten inaniuma mpaka leo
 
Naona unawakera mzee... No reform no election
 
Si kweli. Chadema ni taasisi. Dimond akiga leo ndo kafa. Lakini chadema akifa mtu chama kinaendelea. Sema Dimond kapata mafanikio ya kimuziki.. Ila si sahihi kumlinganisha na chochote kisa wewe mfuasi wake. Unakosea
 
Eti wanaambizana wamu unfollow, wasisikikize nyimbo zake, wasifatilie habari zak na wasusie biashara zake. ๐Ÿ˜…
Oh bc kila mtu afanye analoona linafaa, mana hii ishu ilikuwa hata kipindi cha JPM watu waliunda zengwe jamaa watu wamu-unfollow Ila naona ikayeyuka.
 
UJUE TATZO SIO CHADEMA ANAIBIKA NI TAIFA LINAAIBIKA HATA HUNA AKILI

TAIFA LINAONGOZWA KIMABAVU NA KIMASLAHI INAMAANISHA WAKIPATA CCM HATA WEWE UMEAIBIKA AKILI HATUJAPEWA KILA MWANADAMU
 
CHAMA KINACHOLAZIMISHWA KUPENDWA๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…UNAJISEMA VIBAYA MNO....
WATANZANIA WANAAMKA KONA ZOTE HADI VIJIJINI NI WEWE NDIO HUJUI HILO CCM IMECHOKWA NA MABAVU YAKE
 
nachooamini sio kila mwanaume ameumbiwa kuishi na Familia Kama wewe sidhani kama unaeza ukaoa ukaishi na mwanamke miaka 3 roho yako inajua nachokiongea na sababu ni moja HUO UCHAWA UNAKUFANYA USIFIKIRIE NA KUNAKIPINDI ITAFIKA HIO KAZI YA UCHAWA INAISHA NA HUNA FAIDA TENA KWAO
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ