Diamond ni vyema ukamfukuza kazi Babu Tale au ukatizama upya uongozi wako kwenye Muziki wako maana u

Unanikumbushe mambo ya business communication, ila asikwambie mtu kusoma raha bhana.

Huyu Babu Tale anapenda sana mambo ya kienyejienyeji sana!
 
sioni tatizo la manager kutofahamu onyesho feki lililoandaliwa nje ya nchi. Yeye hakai UK asipofahamishwa atajuaje? Hata kama ana watu wawili watatu aliokwishafanya nao kazi wasipomjulisha huwezi kumsukumia lawama manager. Ingekuwa ni hapa nyumbani kidogo ingesound lakini nje tena majuu..aaah No!
 

Sio kwamba diamond alikua hajui hyo event,anaifaham sana na posts na clip za promo aliweka insta
 

hadi amefiki kuiPromote IG maanake alikuwa anaijua
 

Hii show ya London alikuwa anaijua na ni wazi alitaka kutapeliwa na hii si Mara moja ndio maana nasema nini kazi ya Babu Tale? Maana ni wazi kuna poor management ndio maana anafikia atakutaka kutapeliwa maana sidhani kama Manager anafanya kazi yake kuhakikisha hayatokei yaliyo tokea!

Manager ndio anatakiwa kuhakikisha msanii wake haingii kwenye mazingira ya kutapeliwa na yeye ndio anatakiwa kuhakikisha pesa imelipwa! Sasa katika haya yote inaonesha wazi Diamond ndio alikuwa ana angaika na mapromoter na si Tale!
 
Sio kwamba diamond alikua hajui hyo event,anaifaham sana na posts na clip za promo aliweka insta

Ndio maana nasema Babu Tale ni tatizo sababu hapo kuna uwezekano kuna tatizo la malipo na Diamons alikuwa ana tapeliwa kitu ambacho Manager angeweza kuzuia!
 
Tatizo babu tale labda hajui maana ya kummanage msanii..
Aangalie mfano wa meneja wa Davido au P square we unafikiri wale utawaita bila kuwapa full amount hawaji maana wanajielewa.
Diamond sasa hivi anatakiwa act Kama international music hamna kujuana.
Kama huna full amount hamna kwenda Kwenye show.
 
Yaah n kwel swala la mngmnt liko too formal kuna mda yapasa ubadil watu kutokan na malengo na mahtaj yako pia,angalie upya wap na nn tatzo atafankiwa..
 
mbona haya makubwa jamaa ile ya ujeruman ndo wanasema wanajitangaza...mbona hawa wajinga hivyo.nisawa na kupata 0 test ya kwanza ukasema nitapata 100 test ijayo halafu average itakua 100%.hili ni anguko la domo
 
mbona haya makubwa jamaa ile ya ujeruman ndo wanasema wanajitangaza...mbona hawa wajinga hivyo.nisawa na kupata 0 test ya kwanza ukasema nitapata 100 test ijayo halafu average itakua 100%.hili ni anguko la domo

Babu Tale ni manager mwenye ujinga mwingi! Anapenda mambo ya kienyeji sana.
 

Babu Tale anafikiri kuwa manager ni kuhakikisha tuu wimbo unapigwa kwenye Stations
 
Matatizo ya Diamond na Management yake ni ya kujirudia..Mwaka uliyopita alifanya Show Malaysia alfajiri..Yani ni uvumilivu wa watu tu..vinginevyo yangetokea ya Ujerumani..
 
Babu Tale sasa hivi yupo bize na Yamoto Band baada ya kuona kwa Domo maji marefu.

Naunga mkono Babu apigwe chini, ila tusisahau watu aina ya Tale ni mabingwa wa fitina za kiswahili.

Ila kwa sasa Babu kwa Diamond maji marefu.
 
Matatizo ya Diamond na Management yake ni ya kujirudia..Mwaka uliyopita alifanya Show Malaysia alfajiri..Yani ni uvumilivu wa watu tu..vinginevyo yangetokea ya Ujerumani..
Ndio maana namshauri amfukuze kazi Babu Tale maana ni wazi ana muendesha kienyeji na hajui kwanini ni manager! Manager makini hawezi kukubali msanii wake kuchelewa kwenye show maana ina muharibia muziki wake na kuwachukiza mashabiki!
 

Kwa hiyo unawaita mods wafanye kazi ipi juu yangu? Nipo tayari kuutoa ushahidi huu kama kutakuwa na mazingira mazuri ya ushahidi wangu. Siogopi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…