Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah kuna jamaa UK katapeli with kwa kuwadanganya watu Diamond atakuja kumbe sivyo!
Ninacho jiuliza uongozi wa Diamond huko local na hawana connections kiasi cha kwamba Diamond anatumika kutapeli watu bila wao kupata hata fununu?
hawajui hii ina muharibia Diamond? Ndio maana nimemuomba Diamond amfukuze kazi Babu Tale maana ni mzigo sio Manager!
sioni tatizo la manager kutofahamu onyesho feki lililoandaliwa nje ya nchi. Yeye hakai UK asipofahamishwa atajuaje? Hata kama ana watu wawili watatu aliokwishafanya nao kazi wasipomjulisha huwezi kumsukumia lawama manager. Ingekuwa ni hapa nyumbani kidogo ingesound lakini nje tena majuu..aaah No!
sioni tatizo la manager kutofahamu onyesho feki lililoandaliwa nje ya nchi. Yeye hakai UK asipofahamishwa atajuaje? Hata kama ana watu wawili watatu aliokwishafanya nao kazi wasipomjulisha huwezi kumsukumia lawama manager. Ingekuwa ni hapa nyumbani kidogo ingesound lakini nje tena majuu..aaah No!
Sio kwamba diamond alikua hajui hyo event,anaifaham sana na posts na clip za promo aliweka insta
amfukuze babu tale anajitaka?!!
bongo mzingue,tale,fela na clouds uende na maji
Marketing strategy ya Babu Tale ina-base kwenye kufanya fitina tu naamini hakujua kama Diamond atatusua mpaka nje ya mipaka ambako yeye kama meneja naamini hakujipanga alidhani wataishia kwenye umaarufu wa ndani,Tale ni mzuri kwenye local market maana music industry yetu inaamini kwenye fitina za kumzima fulani ili wewe utoke.
Shule ni tatizo pia maana kwenye timu yao nadhani wamebebana kimazoe sana kuanzia msanii,meneja,Dj etc naungana na mtoa bandiko kua it's high time now kwa dogo kuajiri watu wenye proffesional zao na exposure,vurugu za Germany Tale akasema kwao zina faida cause zinamtangaza msanii wake duh hapo nikajua kabisa Mkurya kapewa mashairi ya taarabu na hili la UK utawasikia wakiwalaumu waandaji hawawezi kujitathimini wao wenyewe wapi wanakosea.
mbona haya makubwa jamaa ile ya ujeruman ndo wanasema wanajitangaza...mbona hawa wajinga hivyo.nisawa na kupata 0 test ya kwanza ukasema nitapata 100 test ijayo halafu average itakua 100%.hili ni anguko la domo
Tatizo babu tale labda hajui maana ya kummanage msanii..
Aangalie mfano wa meneja wa Davido au P square we unafikiri wale utawaita bila kuwapa full amount hawaji maana wanajielewa.
Diamond sasa hivi anatakiwa act Kama international music hamna kujuana.
Kama huna full amount hamna kwenda Kwenye show.
Ndio maana namshauri amfukuze kazi Babu Tale maana ni wazi ana muendesha kienyeji na hajui kwanini ni manager! Manager makini hawezi kukubali msanii wake kuchelewa kwenye show maana ina muharibia muziki wake na kuwachukiza mashabiki!Matatizo ya Diamond na Management yake ni ya kujirudia..Mwaka uliyopita alifanya Show Malaysia alfajiri..Yani ni uvumilivu wa watu tu..vinginevyo yangetokea ya Ujerumani..
Mkuu nyakahanga nilitaka kukupuuza lakini nimeona si vyema kukupuuza!
Kwanza Mimi si Ruge narudia tena! Mimi sina chuki na Diamond wala Babu Tale Bali nimetoa ushauri ulicho takiwa ni kupinga niliyo yaandika si kutaja taja watu!
Asante kwa Ku moniter my steps na ninaomba uweke ushahidi hapa kuthibitisha Mimi ni Ruge Mutahaba!
Kama ukiweza kuthibitisha pasi shaka Mimi ni Ruge Mutahaba nitaomba nipumzishwe kwa miezi sita(ban)
Narudia tena Mimi si Ruge na nimekujibu watu wasijefikiri unacho kisema ni ukweli na watu wengi wanatembelea jf wanaweza kufikiri Ruge ndio kaandika kumbe wewe umemtaja tuu!
Moderator Pruner Invisible Mhariri This is more than name calling namsubiri Mkuu nyakahanga athibitishe ili nyinyi mfanye kazi yenu kulingana na sheria za Jf!