Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
astakafirullah X 10000
lol unamshirikisha mungu katika hanasa lol
ungesema christina shushu,bahati bukuku,nurdin kishk,dr sulley ningekununulia bandle ya mwezi mzima
we umeona amechezewa wapi,,Diamond si mwanadamu kama wewe au ww unajiona ni viti maalum kwa Mungu
Anafanya nini katika kujenga Ufalme wa Mungu useme ni zawadi kutoka kwake!! Ni muujiza gani kafanya unaomrudishia Mungu utukufu!!
mjinga wewe hapo unaedhani mungu kampa pumzi ya kucheza gololo na kuspend pesa kwa matanuzi instead of kusaidia wajane na mayatima
tena usimsingizie sir GOD
hahahahaha atajuta kidogo,kama nawaona team kiba povu litakavyowatoka.Ohoooooo ngojaa wajeee.....utajuta kuanzisha uzi huu. .. CC miss strong princess sayuni ROBERT MICHAEL
Pepo weweeeeeee!!! Unaemsaksia Mungu... Kibaraka was diamond nn?? Mana c kibwebwe hicho... Ila kitu kimoja kamwe usimuusishe Mungu na mambo yako yakidunia ukasema yeye ndo amekuletea tena loma!!!!..... Nimemaliza
Anafanya nini katika kujenga Ufalme wa Mungu useme ni zawadi kutoka kwake!! Ni muujiza gani kafanya unaomrudishia Mungu utukufu!!
Pepo weweeeeeee!!! Unaemsaksia Mungu... Kibaraka was diamond nn?? Mana c kibwebwe hicho... Ila kitu kimoja kamwe usimuusishe Mungu na mambo yako yakidunia ukasema yeye ndo amekuletea tena loma!!!!..... Nimemaliza
ilooooooooo liangalie yani mtoto wakiume kukatika mauno hadharani,kuvaa hereni,kuvaa kata K yani kujikirimu juuu
we kweli unamapeo maana hapo kichwani mwako wao wengi sio mmoja
lol bahati yakooooo nikukukuuuuu wewe fyuuuuuuuuuuuuu