Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jiulize kwanza wewe umefanya nn katika kujenga ufalme wa Mungu kabla ya kumyooshea mwenzako kidole !!!kwanza una hoji hayo kwa utakatifu upi,,,..usihukumu kabla hujahukumiwa au ww ndo unajiona mtakatifu sana aseee
Sikiliza dogo, sijamuhukumu mtu wala sijasema mimi ni mtakatifu na wala hakuna mtakatifu chini ya jua ni kwamba naona ni busara kumsifia mtu kama huyo kwa jinsi ya kibinadamu, mahaba yasizidi sana na kumtaja Mungu katika suala kama ili, ungekua upo sahihi tuu pale ambapo labda angekua amemfanya mtu japo mmoja kuacha dhambi na kufanya yale yaliyokuwa mapanzi ya Mungu.
Shika wewe ambae hujafunzwa jinsi ya kumtukuza muumba wako... Mpaka viburudisho vyako vya ajabu tena visivompendeza Mungu unadai amekupa!!!! Hivi wewe mzima kweli??? Au Mungu baba unataka ufanye matani nae.... Kaka fikiria kabla ujaropoka... Amemuumba tu kama binadamu wengine.... IPO siku utasema wale makahaba nao ni zawadi... Nahisi ushindwii... Embu muogope basi muumba ndugu....
juhudi bila baraka za Mungu huwezi kwenda popote
wwe ni nani mpaka uhoji dhambi na utakatifu..jiulize kwanza
kama picha huoni hata kusikia husikii.....kweli nimeamini usimuamshe aliyelala
we ulitaka niseme shilole au.....
hahahahaha atajuta kidogo,kama nawaona team kiba povu litakavyowatoka.
Wewe alija kutoka kote ha ha mahaba nipofushe niwe mbulula wa ku tumia makanyagio kufikiri
unakimbilia wapi???? rudia tena nipo hapa nakusoma