Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa watanzania

Ikifika page ya 20 nitarudi kusoma comment zenu
 
jiulize kwanza wewe umefanya nn katika kujenga ufalme wa Mungu kabla ya kumyooshea mwenzako kidole !!!kwanza una hoji hayo kwa utakatifu upi,,,..usihukumu kabla hujahukumiwa au ww ndo unajiona mtakatifu sana aseee

Sikiliza dogo, sijamuhukumu mtu wala sijasema mimi ni mtakatifu na wala hakuna mtakatifu chini ya jua ni kwamba naona ni busara kumsifia mtu kama huyo kwa jinsi ya kibinadamu, mahaba yasizidi sana na kumtaja Mungu katika suala kama ili, ungekua upo sahihi tuu pale ambapo labda angekua amemfanya mtu japo mmoja kuacha dhambi na kufanya yale yaliyokuwa mapanzi ya Mungu.
 
Shika wewe ambae hujafunzwa jinsi ya kumtukuza muumba wako... Mpaka viburudisho vyako vya ajabu tena visivompendeza Mungu unadai amekupa!!!! Hivi wewe mzima kweli??? Au Mungu baba unataka ufanye matani nae.... Kaka fikiria kabla ujaropoka... Amemuumba tu kama binadamu wengine.... IPO siku utasema wale makahaba nao ni zawadi... Nahisi ushindwii... Embu muogope basi muumba ndugu....
 
mpaka hapo umehukumu we ni nani mpaka uhoji usafi wa diamond...we ni mwanadamu kama yeye na umekiri hakuna mtakatifu chini ya jua kwahyo watu chini ya jua ni wa shetani??? basi kama sio Diamond ni wa Mungu pia
 
Shika wewe ambae hujafunzwa jinsi ya kumtukuza muumba wako... Mpaka viburudisho vyako vya ajabu tena visivompendeza Mungu unadai amekupa!!!! Hivi wewe mzima kweli??? Au Mungu baba unataka ufanye matani nae.... Kaka fikiria kabla ujaropoka... Amemuumba tu kama binadamu wengine.... IPO siku utasema wale makahaba nao ni zawadi... Nahisi ushindwii... Embu muogope basi muumba ndugu....

wwe ni nani mpaka uhoji dhambi na utakatifu..jiulize kwanza
 
Ww ni nani mpaka unahakiki kuwa uyo Nasibu ni zawadi toka kwa Mungu.... Uyo Nasib anakufanya uende chooni Mara tati mini!! Mpaka ukampamba ivo...
 
Kuna watu kwel wamevurugwa na ww umeumiza kichwa kabsa kusema dimond ni zawad toka kwa allah?????:O
 
Ww ni nani mpaka unahakiki kuwa uyo Nasibu ni zawadi toka kwa Mungu.... Uyo Nasib anakufanya uende chooni Mara tati mini!! Mpaka ukampamba ivo...

kama picha huoni hata kusikia husikii.....kweli nimeamini usimuamshe aliyelala
 
Kwa hyo wengine ni zawad toka kwa nana???? Allah ni wa wote ww dogo🙂

sijakaataa halafu futa hilo neno dogo, nimeanza mimi kusema diamond we ungewataja hao wengine au sio
 
Back
Top Bottom