Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa watanzania

LAbda kubadili vimwana ni utukufu kwa Mungu wake yeye na huyo diamond wake.

mfalme Suleiman alikuwa na wake wangapi na bado alikuwa mfalme aliyebarikiwa zaidi..acha wivu wa kijinga ww
 
Mmmmmh... Mwehu ww Mungu hachezewi kiivo... Toka pepo ww.... !! Na ushindwe kabsa

we umeona amechezewa wapi,,Diamond si mwanadamu kama wewe au ww unajiona ni viti maalum kwa Mungu
 
astakafirullah X 10000
lol unamshirikisha mungu katika hanasa lol
ungesema christina shushu,bahati bukuku,nurdin kishk,dr sulley ningekununulia bandle ya mwezi mzima

acha uchawoi ww, huyo Diamond ameumbwa na Mungu na uhai wake unatoka kwa Mungu hizo anasa unazozisema zimetoka wapi, Muziki umewekwa kwaajili ya binadamu kujiburudisha kila mtu akiwa kama shusho Dunia ingekuwaje??tumiaga hata ubongo wako wa nyuma
 
Anafanya nini katika kujenga Ufalme wa Mungu useme ni zawadi kutoka kwake!! Ni muujiza gani kafanya unaomrudishia Mungu utukufu!!

jiulize kwanza wewe umefanya nn katika kujenga ufalme wa Mungu kabla ya kumyooshea mwenzako kidole !!!kwanza una hoji hayo kwa utakatifu upi,,,..usihukumu kabla hujahukumiwa au ww ndo unajiona mtakatifu sana aseee
 
mjinga wewe hapo unaedhani mungu kampa pumzi ya kucheza gololo na kuspend pesa kwa matanuzi instead of kusaidia wajane na mayatima
tena usimsingizie sir GOD
 
mjinga wewe hapo unaedhani mungu kampa pumzi ya kucheza gololo na kuspend pesa kwa matanuzi instead of kusaidia wajane na mayatima
tena usimsingizie sir GOD

we umeshasaidia yatima mara ngapi, diamond hadi anasomesha watoto pale East africa ulitaka aje achukue ukoo wenu awasomeshe !!! na kama Mungu hampendi mbona hakati uhai wake we ni nani mpaka utoe hukumu
 
Pepo weweeeeeee!!! Unaemsaksia Mungu... Kibaraka was diamond nn?? Mana c kibwebwe hicho... Ila kitu kimoja kamwe usimuusishe Mungu na mambo yako yakidunia ukasema yeye ndo amekuletea tena loma!!!!..... Nimemaliza
 
halafu shika adabu yako na hilo jina la Pepo
 
Anafanya nini katika kujenga Ufalme wa Mungu useme ni zawadi kutoka kwake!! Ni muujiza gani kafanya unaomrudishia Mungu utukufu!!

sasa na wewe umefika mbali, mpaka ufanye miujiza ndio umtukuze Mungu jamani??? sidhani.
 
Pepo weweeeeeee!!! Unaemsaksia Mungu... Kibaraka was diamond nn?? Mana c kibwebwe hicho... Ila kitu kimoja kamwe usimuusishe Mungu na mambo yako yakidunia ukasema yeye ndo amekuletea tena loma!!!!..... Nimemaliza

Mungu ametuweka duniani ili tuishi, kwann nisimuhusishe??!!!
 
ilooooooooo liangalie yani mtoto wakiume kukatika mauno hadharani,kuvaa hereni,kuvaa kata K yani kujikirimu juuu
we kweli unamapeo maana hapo kichwani mwako wao wengi sio mmoja
lol bahati yakooooo nikukukuuuuu wewe fyuuuuuuuuuuuuu
 
sasa na wewe umefika mbali, mpaka ufanye miujiza ndio umtukuze Mungu jamani??? sidhani.

sio kafika mbali lichwa chake amepewa ili afugie nywele hakitumii kabisa kufikiria
 
hakuna cha kushushwa na Mungu wala nini, juhudi zake tuu ndio zimewazidi wengine.
 
ilooooooooo liangalie yani mtoto wakiume kukatika mauno hadharani,kuvaa hereni,kuvaa kata K yani kujikirimu juuu
we kweli unamapeo maana hapo kichwani mwako wao wengi sio mmoja
lol bahati yakooooo nikukukuuuuu wewe fyuuuuuuuuuuuuu

mbona unatoa coment kwa kuzomea kama mtoto wa darasa la pili...hebu kakojoe ukalale maana huna cha maana apa zaidi ya zomeazomea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…