ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Huu uzi unapoelekea kutakuwa na mashindano ya matusi.
Jana nilijihakikishia jinsi gani Diamond yupo katika level yake ya kipekee huko juu....unajua ilikuwaje??
kwenye tamasha la fiesta la Dodoma ilipigwa nyimbo ya mdogomdogo bila Diamond kuwepo na ilipata shangwe zaidi ya wanamuziki wote waliokuwa wakipeform..
Zaidi hata ya ally kiba ambaye wanafki wachache wanafanya makusudi kumlinganisha na Diamiond...hebu fikiria mtu hayupo ila anakufunika je angekuwepo???!!
Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kama unampenda ally kiba, barnaba na wengineo poa tu lakini tambua Diamond yupo kule juu anawaangalia wale waliopo chini.
Ndo ubaya wa kuvimbiwa keki za "besidei"
Jana nilijihakikishia jinsi gani Diamond yupo katika level yake ya kipekee huko juu....unajua ilikuwaje??
kwenye tamasha la fiesta la Dodoma ilipigwa nyimbo ya mdogomdogo bila Diamond kuwepo na ilipata shangwe zaidi ya wanamuziki wote waliokuwa wakipeform..
Zaidi hata ya Ally Kiba ambaye wanafki wachache wanafanya makusudi kumlinganisha na Diamiond...hebu fikiria mtu hayupo ila anakufunika je angekuwepo???!!
Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kama unampenda ally kiba, barnaba na wengineo poa tu lakini tambua Diamond yupo kule juu anawaangalia wale waliopo chini.
unamaanisha mungu huyu huyu muumba mbingu na ardhi na kila kilicho duniani? yaani huyu Mungu mfalme ndio ameishiwa zawadi mpaka atuletee zawadi ya Malaya?..astaghfillullah!
We utajijua mwenyw sasa maana naona unaona kibanzi kwnye jicho la mwenzako wakati kwako una boriti
Waswahili walisema "ivumayo haidumu "
Hhhhhaaaaaa
Mtu mwenye jina lake el nino....