Diamond: Nililipwa 100mil kutumbuiza jukwaa moja na Ali Kiba

Diamond: Nililipwa 100mil kutumbuiza jukwaa moja na Ali Kiba

Kiukweli kabisa Alikiba alilipwa million 1 na nusu
 
pwilo unazan kiba show hazitaki? Anyway, kama Kingkiba anaingiza pesa ndefu zaidi mbona bado anaishi kwa bimkubwa pale kkoo?
 
Last edited by a moderator:
Soon @niffah atapotea maana dai katuletea tiffah

Hahahahahhah natania tu jamani[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3]
 
pwilo unazan kiba show hazitaki? Anyway, kama Kingkiba anaingiza pesa ndefu zaidi mbona bado anaishi kwa bimkubwa pale kkoo?
sio hazitaki bali kwa show moja kiba anaingiza pesa nyingi kuliko daimond wakilipa vitu vyote kila mtu sema kiba hapigi mara kwa mara show
 
Last edited by a moderator:
Kiba siyo mpiga kelele hahahahaaaaaa asa unasema umelipwa mil 100 ndo kubwa kwako kwa Tanzania...ukija gundua mwenzio alilipwa 120 je?...hahahahaaaaaaa...uuuuuwi
 
Diamond akidai kalipwa hivyo ni sawa, maisha yake yanaonekana. Yule mwenzake akidai kalipwa 100 tutashangaa maana hata humu JF kuna thread inasema nyumba hana!

Kiba mtoto wa mjini ndo maana huwa hamna kelele huwezi fananisha mtoto aliyekaa KARIAKOO na ALIYEKULIA TANDALE....mtasema kila neno ila mnaisoma# hata kimoyomoyo hahahaaaaaaa...
 
Nyie mko bize sjui team kiba sjui team dai haya niambieni kwenye hio milion 100 kuna mtu kapata hata buku ..haswa wanaotukanana kisa Ali k na dai ..mwenzenu anakunja mahela kwa ugomvi huu ..na nawaambia kuna siku dai na Ali k watakutana kisiri na kufanya deal ..colabo na makampun yatajumuishwa hapo kama mnataka tufanye kolabo milion 500
 
Kiba siyo mpiga kelele hahahahaaaaaa asa unasema umelipwa mil 100 ndo kubwa kwako kwa Tanzania...ukija gundua mwenzio alilipwa 120 je?...hahahahaaaaaaa...uuuuuwi

Kiba alilipwa 20 milion alipogundua mwenzake kalipwa 100 akataka kususa akaambiwa umesaini mkataba utatulipa fidia ya 300 milioni akanywea
 
Kiba alilipwa 20 milion alipogundua mwenzake kalipwa 100 akataka kususa akaambiwa umesaini mkataba utatulipa fidia ya 300 milioni akanywea

siriaz? hata hiyo 20 ni nyingi sana kwake, ashukuru Mungu bifu hii
 
Kiba ni mkali k.vyake na diamond k.vyake ila diamond ana bidii sana na anajua kutumia fursa na keshapiga hatua sana kiba hawez kumfikia diamond isipokuwa kwa kubadili management na ajibrand kama mwenzake..bila hivyo ataendelea kuwa ndorobo ingawa ana uwezo mkubwa sana.
 
huyu Dai anaijua thaman yake sana...kwel ni mfanya biashara.
Mana watu wakampiga makopo kumb mwenzao kaingiza 100 mil...wabongo bhana
 
Back
Top Bottom