Diamond: Niliwatolea nje Roc Nation ya Jay-Z

Watanzania bado sana kujikubali. Hawataki kuamini Diamond ni jina kubwa sana hapa Africa.
Mmoja wao ni.huyo anajiita eti yeezus yeezus bongo...yeezus aka kanye west yuko marekan ...yeye yuko hapa bongo mavi kunuka anajiita yeezus anapata stress akisikia diamond...kama unapata stress na vitu vidogo kama hiv ukiwa na familia si ndo utajiua kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
achana nae bwanaaa!!

punguza hasira!
 
Domo ana fix balaa, jigga hajui ka kuna kitu inaitwa Diamond or Gold asee..
We sidhani kama unafika 20 yrs,sasa huyo jigga wako na kina neyo au r Kelly si ni walewale tu?halafu kwa akili yako fupi pamoja na wenzako mliochangia kwa mihemko muelewe kua diamond ni brand mtu yeyote businessman anaweza kumuhitaji kwa makubaliano maalumu ya kibiashara,lakini pia muelewe kwa sasa diamond sio tu icon ya bongo ni kwa Africa nzima au ili nalo pia mnataka kufundishwa?acheni ujuha nyie msiojua business zinafanyikaje.
 
Ukiwa na malengo positive hili linawezekana ila km ndo dizaini ya kina niki wa pili na fiesta basi hii itakua ngumu sana umtose jigga duuh!
 
Hapa ndo tunaona mawazo halisi ya watanzania,Jay Z kwetu ni "mungu" hawezi kataliwa.
 
Roc Nation hii hii ambayo Dj Khaled anajisifu kua nw inamsimamia kazi zake anajivuni" au ya Tandale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…