Diamond: Niliwatolea nje Roc Nation ya Jay-Z

Short and clear, umeshindwa hoja; au labda kwavile tu umeamua kutokubali kwa sababu inamhusu mtu ambae ungetaka iwe kinyume chake!!!
mbona hapa sijajadili chochote na wewe zaidi ya kukushauri ukanywe chai???
 
Mke wangu ndo anajua kwamba nimekunywa chai, au hapana!!! Na ndie yeye anaetakiwa kunishauri kufanya lolote kuhusu hilo!! Mbona unajitwisha majukumu mazito ndugu yangu?!
hapa tayari umeshapanic,
punguza jazba mkuuu 😀 😀 😀 😀
 
Sasa mnamlinganisha na diamond yupi aliyejiunga na Roc? Maana diamond hapa ni mmoja, ni nani anajua kuwa diamond angekuw level gani endapo angejiunga na Roc. Nimecoment tu, wala sijui mnachozungumzia[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
myplusbee uchambuzi ulioutoa hapo juu nakupa big up sana, ni wa moto mno... wasipoelewa na hapo wala usisumbuke kujibizana nao... hiki kizazi cha BRN kishaanza kuonesha athari zake
 
Hua nawapa respect mnaochambua mambo kama hivi, hii inaonesha ukomavu wa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa tayari umeshapanic,
punguza jazba mkuuu 😀 😀 😀 😀
Nipate jazba kwa lipi Chifu?! Mimi ni rahisi sana kupata jazba kama mtu anayefanya personal attack, lakini kwako nimechukulia umezingua tu, na ndio maana nami nikakuzingua!!!
 
😀😀 diamond awe level moja na Jay Z au kuwa maarufu marekani haiwezi tokea iyo
Duh! Nyie watu sijui vp!!! Hivi hiyo habari inazungumzia suala la Diamond kuwa level moja na Jay Z au Diamond kusainiwa na Roc Nation?! Na msingi wa swali ulilo-quote ni kwamba, wakati Diamond anatangaza kwamba Roc Nation walimfuata kumsaini; yeye alikataa! Haters wakadai kwamba Diamond muongo na anatafuta kiki tu huku wakiamini asingekuwa na ubavu wa kukataa kusainiwa na Roc Nation!! Na alieleza ni kwanini alikataa kusainiwa na Roc Nation!

Ndipo nimeuliza: Je, hata baada ya miaka 3 kupita, bado wanaamini Diamond alidanganya kwamba alikataa kusainiwa na Roc Nation hasa ukizingatia aina ya mkataba wake na Universal Studio na alivyokuwa amesema kuhusu Roc Nation?!

Sasa Chifu suala la Diamond kuwa level moja na Jay Z linakujaje?!
 
Povuu Mimi au wewe?!!!sasa umetumwa kuuliza?ulitaka uulize usijibiwe?Jifunze kubalansi shoboo!!!byeeeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kwani unaongelea nn? Sikuelewi hataa
Yaani nikuwekee shobo wewe?! Kiroja cha mwaka hiki!!! Nakukumbusha, hii ni public forum! Ukiweka post watu wata-quote tu na comment! Hujalazimishwa kujibu!! Kama hutaki kujibu unapotezea tu badala ya kuleta mipasho!!!
 
Unaongea na Mimi au unaongea na simu...!!!!
Yaani nikuwekee shobo wewe?! Kiroja cha mwaka hiki!!! Nakukumbusha, hii ni public forum! Ukiweka post watu wata-quote tu na comment! Hujalazimishwa kujibu!! Kama hutaki kujibu unapotezea tu badala ya kuleta mipasho!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye mawazo mgando watapinga hii,,

Ila kijana anapasua tu,,

[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliopinga ni wale wenye mawazo mgando [emoji23],,

Ila mda unaongea,,



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa tunafatilia commentz kama hizi,,

[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…