Diamond nimeamini kweli hao wanajenga majungu wewe unajenga vibanda

Diamond nimeamini kweli hao wanajenga majungu wewe unajenga vibanda

1474750161828.jpg



1474750176019.jpg



1474750186132.jpg




1474750195613.jpg
 
Mhhhhhh hizo picha za birthday Zari kaonekana jinsi umri ulivyomtupa mkono.

Iyobo na Aunt naona wameanza kufanana hivi [emoji12]

Dida nae [emoji6]
 
If you can't fight them, join them!! Kuumizwa na mambo ya hawa jamaa ni kujitafutia ugonjwa wa moyo kwa bei chee! Wengine wanapata ugonjwa wa moyo kwa kula sana bia na vitamu vitamu; wengine watapata ugonjwa wa moyo kwa sababu tu ya hinda!
 
Mmmh Bibi si kwa mkorogo huo, halafu anavoonyesha hilo tumbo Kama fasheni vile angejua nguo za kubana na tumbo hata hapendezi , pili mbona anaonekana Hana furaha hata smile jaman siku ya birthday khaa!! Picha hazionyeshi furaha asee japo wanalazimisha.. Sasa mbona hatuoni familia ya diamond?? Ila huyu mwanamke ni nyokoo Ana roho mbaya Sana hata kuwaalika? [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom