BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Nasikia kaweka clip ya "nampenda bibi kizee nampenda kikongwe" kwenye sjui ndo picha ya zari na diamond ama vp sjui...yule dada kashindikanaYule dada nae mh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia kaweka clip ya "nampenda bibi kizee nampenda kikongwe" kwenye sjui ndo picha ya zari na diamond ama vp sjui...yule dada kashindikanaYule dada nae mh
Haaah haaah bangi wewe Kimeta *wisemanKwa zari hata akipata 5 kid 21 wan sechari si mchezo .... Apate tuu maaana anaweza piga kumi huyu mama
Yule dada yuko mgonjwa na maisha ya watu anataka watu wote wawe level yakeIla nasikia mange kimambi ameshaharibu huko instagram.
wanawake bwana....Hapo ni wivu tu unawasumbua kisa Zari anakula bata ambazo wewe mpaka unakufa hautakaa uzipate.....Kuna video wamejirekod zari na daimond sasa watu wameiwekea ile nyimbo ya nampenda bibi kizee nakupenda kikongwe nimecheka balaaa
Kwa hiyo picha ndio imeharibu nini?Nasikia kaweka clip ya "nampenda bibi kizee nampenda kikongwe" kwenye sjui ndo picha ya zari na diamond ama vp sjui...yule dada kashindikana
Ni kweli, ila mapenzi hayachagui umri ndio maana unakuta vibinti vya miaka 19 vinatembea na vizee vya miaka hamsini.Mhhhhhh hizo picha za birthday Zari kaonekana jinsi umri ulivyomtupa mkono.
Iyobo na Aunt naona wameanza kufanana hivi [emoji12]
Dida nae [emoji6]
Huo ndio ukweli, na ndio maana kila siku watu wanapika majungu ya kila aina.Tuacheni utani diamond ana maisha fulani watu wengi tunayatamani lakin uwezo hatuna maisha fulani amazing ndio maana wanamchukia