Tumpe nani humu JF atuwakilishe kwa Simbaa??Mwanamuziki mkubwa na mwenye jina kubwa afrika na duniani kwa ujumla kutoka Tanzania Diamond Platinumz ameamua kuweka wazi maisha yake ya sasa ya mahusiano na kusema kuwa kwa sasa hana mahusiano na mwanamke yoyote.
Diamond ambae amekuwa akisemwa kwa kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti ameandika katika pag yake ya snapchat na kusema kuwa kwa sasa yeye ni single boy.
Diamond kutangaza wazi kuwa yupo single ni kuweka wazi kuwa kwa sasa anahitaji mwanamke mwingine
Dermis chamdekoTumpe nani humu JF atuwakilishe kwa Simbaa??
Miss natafutaTumpe nani humu JF atuwakilishe kwa Simbaa??
Huu ni uongo wa mchana kweupe. Labda uwadanganye nyumbu wenzako. Diamond hajawahi kuwa na jina kubwa Afrika sembuse Duniani! Unafanya mchezo wewe. Hata hapo Misri hawamjui. Hapo Ethiopia hajulikani. Sana sana anawaokoteza manamba wa Afrika mashariki tu.Mwanamuziki mkubwa na mwenye jina kubwa afrika na duniani kwa ujumla kutoka Tanzania Diamond Platinumz ameamua kuweka wazi maisha yake ya sasa ya mahusiano na kusema kuwa kwa sasa hana mahusiano na mwanamke yoyote.
Diamond ambae amekuwa akisemwa kwa kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti ameandika katika pag yake ya snapchat na kusema kuwa kwa sasa yeye ni single boy.
Diamond kutangaza wazi kuwa yupo single ni kuweka wazi kuwa kwa sasa anahitaji mwanamke mwingine
Familia yote inahemea kwa Simba (single). Dada kaanzishiwa duka la kuuza vitenge like seriously!!! uswahili.comFamilia nzima ni mwendo wa kiki tu za kipuuzi
Vigezo na masharti kuzingatiwaMwanamuziki mkubwa na mwenye jina kubwa afrika na duniani kwa ujumla kutoka Tanzania Diamond Platinumz ameamua kuweka wazi maisha yake ya sasa ya mahusiano na kusema kuwa kwa sasa hana mahusiano na mwanamke yoyote.
Diamond ambae amekuwa akisemwa kwa kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti ameandika katika pag yake ya snapchat na kusema kuwa kwa sasa yeye ni single boy.
Diamond kutangaza wazi kuwa yupo single ni kuweka wazi kuwa kwa sasa anahitaji mwanamke mwingine
Kubahatika visenti vya kubadilishia mboga Pasi na elimu ni shida.Familia nzima ni mwendo wa kiki tu za kipuuzi
Anguko Lao laja. Uganga-Uganga, ku-bull watu (hususani wanawake) kumeanza kuwagharimu.Kubahatika visenti vya kubadilishia mboga Pasi na elimu ni shida.
RaynaveroTumpe nani humu JF atuwakilishe kwa Simbaa??
Mkuu si umpe katapila? Halafu tuwasiliane kuna kademu kako Moshi nimekatoomber nataka nikupasie na wewe. Kizuri kula na nduguyoRaynavero
Poapoa chibu,vipi princessMkuu si umpe katapila? Halafu tuwasiliane kuna kademu kako Moshi nimekatoomber nataka nikupasie na wewe. Kizuri kula na nduguyo