Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,117
- 1,966
Mwanamuziki mkubwa na mwenye jina kubwa afrika na duniani kwa ujumla kutoka Tanzania Diamond Platinumz ameamua kuweka wazi maisha yake ya sasa ya mahusiano na kusema kuwa kwa sasa hana mahusiano na mwanamke yoyote.
Diamond ambae amekuwa akisemwa kwa kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti ameandika katika pag yake ya snapchat na kusema kuwa kwa sasa yeye ni single boy.
Diamond kutangaza wazi kuwa yupo single ni kuweka wazi kuwa kwa sasa anahitaji mwanamke mwingine