Diamond: Nipo single

Diamond: Nipo single

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Mwanamuziki mkubwa na mwenye jina kubwa afrika na duniani kwa ujumla kutoka Tanzania Diamond Platinumz ameamua kuweka wazi maisha yake ya sasa ya mahusiano na kusema kuwa kwa sasa hana mahusiano na mwanamke yoyote.

Diamond ambae amekuwa akisemwa kwa kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti ameandika katika pag yake ya snapchat na kusema kuwa kwa sasa yeye ni single boy.

Diamond kutangaza wazi kuwa yupo single ni kuweka wazi kuwa kwa sasa anahitaji mwanamke mwingine
 
Tumpe nani humu JF atuwakilishe kwa Simbaa??
 
Huu ni uongo wa mchana kweupe. Labda uwadanganye nyumbu wenzako. Diamond hajawahi kuwa na jina kubwa Afrika sembuse Duniani! Unafanya mchezo wewe. Hata hapo Misri hawamjui. Hapo Ethiopia hajulikani. Sana sana anawaokoteza manamba wa Afrika mashariki tu.
 
Mwanamuziki mkubwa na mwenye jina kubwa afrika na duniani kwa ujumla kutoka Tanzania Diamond Platinumz ameamua kuweka wazi maisha yake ya sasa ya mahusiano na kusema kuwa kwa sasa hana mahusiano na mwanamke yoyote.

Diamond ambae amekuwa akisemwa kwa kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti ameandika katika pag yake ya snapchat na kusema kuwa kwa sasa yeye ni single boy.

Diamond kutangaza wazi kuwa yupo single ni kuweka wazi kuwa kwa sasa anahitaji mwanamke mwingine
Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Back
Top Bottom