[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu mbona povu sanaIla ushamba wake wa kutokujua kuvaaa ndio umemfikisha hapo alipo,hao wanaojua kuvaa sijui wamefika wap,na mbaya zaid unaposema bata,naiman bata halijawah msaidia mtu maisha asilan,cha muhim hao wanaokula bata weng wanakuja na gar na pamba za mikodisho,aache kulea wanae akale bata,,au umesahau kwamba yule ni baba wa watoto watano kwa sasa??? Wawil na wale watatu wa Ivan so wapo chini ya baba wa kambo,halaf akapoteze muda kula bata?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza .Toka umejua kuvaa na kula bata umeishaliingizia taifa kitu gani ambacho kitatufanya tukukumbuke?
Haha [emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa na adabu kijana sio wore unaowaona humu unalingana nao umri
vp mbona povu linakutoka?;ana date na mama yako?Msanii na mfanyabiashara maarufu Naseeb Abdul (Diamond Platinum) ingawa ni role model wa mabishoo wengi hapa mjini lakini tukisema tutaje watu wanaojua kutupia/ kunyonga/ kuvaa vizuri diamond hata 1000 bora hayupo
Kwa kutupia diamond kaachwa mbali sana na Jux
Pia hata swagger diamond hana ,hamfikii jux hata theluthi
Mbali na kutupia ,pia hata starehe Diamond bado yupo nyuma sana .
Diamond anachokiweza yeye ambacho hata mimi binafsi namsifia ni suala la biashara na kujitangaza kimataifa tu basi
Diamond ni mtu anayejua sana kuitumia fursa ipasavyo ,huwa hafanyi makosa kwenye sekta hiyo .
Ndiovp mbona povu linakutoka?;ana date na mama yako?
Janjaro mbwembwe tu yule [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dogo janja c ndo anaejua kuvaa TZ nzima
Huyo kiba ndo zero kabisa kwenye kuvaaWw kumfananisha kiba na diamond kweny kuvaa unamshusha hadhi diamond kiukwel kiba kweny kuvaa bado sana laba sut tu
Sio povu, kaongea ukweli. Bata ndio zimemfikisha Mr. Nice hapo alipo. The same kwa mastaa wengine. Kwa mujibu wa tweet za Diamond mwenyewe, kilichomfanya Diamond amwache Wema ni bata hizo hizo unazoongelea. Wema hapendi kuzalisha pesa, anapenda kutumia tu (bata). Kimsingi bata ziendane na kipato.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu mbona povu sana
yale maplastiki na miwani ya watoto kwako ndo anajua kuvaa?Msanii na mfanyabiashara maarufu Naseeb Abdul (Diamond Platinum) ingawa ni role model wa mabishoo wengi hapa mjini lakini tukisema tutaje watu wanaojua kutupia/ kunyonga/ kuvaa vizuri diamond hata 1000 bora hayupo
Kwa kutupia diamond kaachwa mbali sana na Jux
Pia hata swagger diamond hana ,hamfikii jux hata theluthi
Mbali na kutupia ,pia hata starehe Diamond bado yupo nyuma sana .
Diamond anachokiweza yeye ambacho hata mimi binafsi namsifia ni suala la biashara na kujitangaza kimataifa tu basi
Diamond ni mtu anayejua sana kuitumia fursa ipasavyo ,huwa hafanyi makosa kwenye sekta hiyo .
bobu nimekuepuka mara nyingi usidhani labda siwezi kutukana au namna gani vipiyale maplastiki na miwani ya watoto kwako ndo anajua kuvaa?