xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,134
- 7,338
Ila ushamba wake wa kutokujua kuvaaa ndio umemfikisha hapo alipo,hao wanaojua kuvaa sijui wamefika wap,na mbaya zaid unaposema bata,naiman bata halijawah msaidia mtu maisha asilan,cha muhim hao wanaokula bata weng wanakuja na gar na pamba za mikodisho,aache kulea wanae akale bata,,au umesahau kwamba yule ni baba wa watoto watano kwa sasa??? Wawil na wale watatu wa Ivan so wapo chini ya baba wa kambo,halaf akapoteze muda kula bata?