Diamond Platinum hajui kuvaa wala sio mtu wa bata

Ila ushamba wake wa kutokujua kuvaaa ndio umemfikisha hapo alipo,hao wanaojua kuvaa sijui wamefika wap,na mbaya zaid unaposema bata,naiman bata halijawah msaidia mtu maisha asilan,cha muhim hao wanaokula bata weng wanakuja na gar na pamba za mikodisho,aache kulea wanae akale bata,,au umesahau kwamba yule ni baba wa watoto watano kwa sasa??? Wawil na wale watatu wa Ivan so wapo chini ya baba wa kambo,halaf akapoteze muda kula bata?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu mbona povu sana
 
Msanii na mfanyabiashara maarufu Naseeb Abdul (Diamond Platinum) ingawa ni role model wa mabishoo wengi hapa mjini lakini tukisema tutaje watu wanaojua kutupia/ kunyonga/ kuvaa vizuri diamond hata 1000 bora hayupo

Kwa kutupia diamond kaachwa mbali sana na Jux

Pia hata swagger diamond hana ,hamfikii jux hata theluthi

Mbali na kutupia ,pia hata starehe Diamond bado yupo nyuma sana .

Diamond anachokiweza yeye ambacho hata mimi binafsi namsifia ni suala la biashara na kujitangaza kimataifa tu basi

Diamond ni mtu anayejua sana kuitumia fursa ipasavyo ,huwa hafanyi makosa kwenye sekta hiyo .
vp mbona povu linakutoka?;ana date na mama yako?
 
Kwenda na fasheni za mavazi zinasaidia nini kama huna pesa? Cha msingi mtu kupiga pesa ya nguvu hizo fasheni ni mbwembwe, pesa ndio kila kitu.
 
Wa kolomije mnashidaa
Tuko poa sie labda nyie huko mjini
19598586_1928349960758521_6209683709802884575_n.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu mbona povu sana
Sio povu, kaongea ukweli. Bata ndio zimemfikisha Mr. Nice hapo alipo. The same kwa mastaa wengine. Kwa mujibu wa tweet za Diamond mwenyewe, kilichomfanya Diamond amwache Wema ni bata hizo hizo unazoongelea. Wema hapendi kuzalisha pesa, anapenda kutumia tu (bata). Kimsingi bata ziendane na kipato.
 
Msanii na mfanyabiashara maarufu Naseeb Abdul (Diamond Platinum) ingawa ni role model wa mabishoo wengi hapa mjini lakini tukisema tutaje watu wanaojua kutupia/ kunyonga/ kuvaa vizuri diamond hata 1000 bora hayupo

Kwa kutupia diamond kaachwa mbali sana na Jux

Pia hata swagger diamond hana ,hamfikii jux hata theluthi

Mbali na kutupia ,pia hata starehe Diamond bado yupo nyuma sana .

Diamond anachokiweza yeye ambacho hata mimi binafsi namsifia ni suala la biashara na kujitangaza kimataifa tu basi

Diamond ni mtu anayejua sana kuitumia fursa ipasavyo ,huwa hafanyi makosa kwenye sekta hiyo .
yale maplastiki na miwani ya watoto kwako ndo anajua kuvaa?
 
Back
Top Bottom