Diamond Platinum hajui kuvaa wala sio mtu wa bata

Kikubwa mtonyo unaingia hayo mengine ni upuuzi tu.
 
Hizi tabia ya kuwadadavua wanaume wenzenu ni tabia za ki-shori...
Halafu wabongo tabia ya kukariri haitawaisha hivi nani kasema jux anatupia?
mimi binafsi sioni anachotupia zaidi ya kuiga Swagga za Starboy. sometimes
 

Kujua kuvaa kuliko kutafuta pesa ni ubashite wa kimataifa
 
If they ain't hating, just know it aint good...
 
Hizi tabia ya kuwadadavua wanaume wenzenu ni tabia za ki-shori...
Halafu wabongo tabia ya kukariri haitawaisha hivi nani kasema jux anatupia?
mimi binafsi sioni anachotupia zaidi ya kuiga Swagga za Starboy. sometimes
Ok
 
Sasa hao mabishoo wanamuigaje kama hajui kutupia na kwa upande wa bata naomba ufatilie vizuri
 
Hilo la mwisho ndo la msingi mengine yote upupu usio na tija kwa Tanzania ya leo.
 
Mkuu wewe ni Team WCB, tena katibu wa itikadi na uenezi, leo unamponda boss wenu...vipi?
 

Hebu elewa mada ndo mana mnapata sup vyuoni ,hujaambiwa mafanikio au kutafuta pesa ,hapa inaongelewa Diamond hajui kuvaa ,kwahiyo kanusha au tetea .Kama pesa hata kina Mo dewj wanazo lakini hatuwezi sema Mo anajua kuvaa kisa anapesa

Ukweli mchungu ,Diamond anapesa ila bado mshamba wa Koromije ,huwezi mfananisha na watoto wa mjini kina AY kwenye sekata ya bata.Starehe ya Diamond ni kukamua K tu
 
Sasa hiyo starehe ya "kukamua K" si ndo starehe namba moja duniani kwa kila mwanamme rijali! lbd uwe mwanaume mwenye matatizo ya Penis Challenged Person![emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…