Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #41
Hatimaye nawe leo umeanzisha uzi
Wewe hakuna mada hata moja uliyoianzisha ukapata views 2K wala replies zikafika 20 ,pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye nawe leo umeanzisha uzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] LTE naona unataka kushugulikia mnaraUpo maeneo gani naona simu yako inakamata 4G
Msanii na mfanyabiashara maarufu Naseeb Abdul (Diamond Platinum) ingawa ni role model wa mabishoo wengi hapa mjini lakini tukisema tutaje watu wanaojua kutupia/ kunyonga/ kuvaa vizuri diamond hata 1000 bora hayupo
Kwa kutupia diamond kaachwa mbali sana na Jux
Pia hata swagger diamond hana ,hamfikii jux hata theluthi
Mbali na kutupia ,pia hata starehe Diamond bado yupo nyuma sana .
Diamond anachokiweza yeye ambacho hata mimi binafsi namsifia ni suala la biashara na kujitangaza kimataifa tu basi
Diamond ni mtu anayejua sana kuitumia fursa ipasavyo ,huwa hafanyi makosa kwenye sekta hiyo .
barabara kabisa nikikuona usoma H plain walau hata usome H+ au LTE mambo yatakuwa mujarabu kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] LTE naona unataka kushugulikia mnara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Team Jux kwenye ubora wako
OkHizi tabia ya kuwadadavua wanaume wenzenu ni tabia za ki-shori...
Halafu wabongo tabia ya kukariri haitawaisha hivi nani kasema jux anatupia?
mimi binafsi sioni anachotupia zaidi ya kuiga Swagga za Starboy. sometimes
Mkuu wewe ni Team WCB, tena katibu wa itikadi na uenezi, leo unamponda boss wenu...vipi?Msanii na mfanyabiashara maarufu Naseeb Abdul (Diamond Platinum) ingawa ni role model wa mabishoo wengi hapa mjini lakini tukisema tutaje watu wanaojua kutupia/ kunyonga/ kuvaa vizuri diamond hata 1000 bora hayupo
Kwa kutupia diamond kaachwa mbali sana na Jux
Pia hata swagger diamond hana ,hamfikii jux hata theluthi
Mbali na kutupia ,pia hata starehe Diamond bado yupo nyuma sana .
Diamond anachokiweza yeye ambacho hata mimi binafsi namsifia ni suala la biashara na kujitangaza kimataifa tu basi
Diamond ni mtu anayejua sana kuitumia fursa ipasavyo ,huwa hafanyi makosa kwenye sekta hiyo .
Sio povu, kaongea ukweli. Bata ndio zimemfikisha Mr. Nice hapo alipo. The same kwa mastaa wengine. Kwa mujibu wa tweet za Diamond mwenyewe, kilichomfanya Diamond amwache Wema ni bata hizo hizo unazoongelea. Wema hapendi kuzalisha pesa, anapenda kutumia tu (bata). Kimsingi bata ziendane na kipato.
Sasa hiyo starehe ya "kukamua K" si ndo starehe namba moja duniani kwa kila mwanamme rijali! lbd uwe mwanaume mwenye matatizo ya Penis Challenged Person![emoji2]Hebu elewa mada ndo mana mnapata sup vyuoni ,hujaambiwa mafanikio au kutafuta pesa ,hapa inaongelewa Diamond hajui kuvaa ,kwahiyo kanusha au tetea .Kama pesa hata kina Mo dewj wanazo lakini hatuwezi sema Mo anajua kuvaa kisa anapesa
Ukweli mchungu ,Diamond anapesa ila bado mshamba wa Koromije ,huwezi mfananisha na watoto wa mjini kina AY kwenye sekata ya bata.Starehe ya Diamond ni kukamua K tu
Diamond kwenye kuimba hana mpinzani hapa TZ na Africa kwa ujumla ila kwenye kuvaa ni wa kawaida sana.Mkuu wewe ni Team WCB, tena katibu wa itikadi na uenezi, leo unamponda boss wenu...vipi?