Diamond Platinum tokea uhamia kuishabikia Klabu moja hivi duniani yenye Washamba wengi nawe pia sasa umekuwa kama Wao tu

Diamond Platinum tokea uhamia kuishabikia Klabu moja hivi duniani yenye Washamba wengi nawe pia sasa umekuwa kama Wao tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Unamsakama Mboso kisa tu kumuandikia mistari ya Wimbo wake kana kwamba vile hata Wewe mwenyewe 85% ya Nyimbo zako huwa unaandika mistari mwenyewe. Nilikuwa nakuheshimu sana na hata Kukutetea mno hapa JamiiForums ila sasa nimeamini ukiwa Mshabiki wa hiyo Timu uliyoko sasa utakuwa Mshamba na Juha (Mpumbavu)

Hivi Diamond unajua kuwa 95% ya Wanamuziki Nguli wa akina Bandeko Nangai (Congo DR) kuanzia Magwiji akina JB Mpiana, Koffi Olomide na Ngiama Makanda Werrason Nyimbo zao nyingi huandikiwa na ama baadhi ya Wanamuziki wao katika Bendi au Watu tu baki?

Je, umeshawahi kusikia hao Waliowaandikia hiyo Mistari wanatamba na kujisifu kwa Watu kama ulivyo Mbugira (Mshamba) na Ngendembwe (Lofa) Wewe? Hivi Diamond unajua kuwa wenye Kufuatilia aina ya Miziki mbalimbali duniani tunajua kuwa aliyekuwa akikuandikia Nyimbo zako zilizotamba na hata kukuweka katika Ramani ya Muziki Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na Duniani ni Harmonize Konde Boy?

Je, Yeye alishawahi Kujitamba huko Mitandaoni au Kukudharau kama ambavyo Wewe sasa Unatamba na Unamdharau Mboso? Hovyo kabisa Wewe na Siku hizi nakuchukia kweli kweli baada ya kukujua kuwa ni Mnafiki na ndiyo maana ukahama Timu ya wenye Akili na kwenda Timu ya Mapopoma (Wapumbavu), ya Mambugira (Washamba) na ya Mangendembwe (Malofa) unayoishabikia sasa.
 
Nani kafundisha wanaume kuchamba? Wanaume sikuhizi mnachamba kuliko hata wanawake🚮👍😂
 
Enheee naona kunachangamka sasa
 
Mwanaume anachamba 😂😂 👌👌👌 namna hii tutafika kweli, vichambo vyenye matusi
 
Back
Top Bottom