Diamond Platinumz aibuka kidedea kwa kushinda KORA MUSIC AWARDS

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Wakuu japokuwa sina uhakika sana kama yule mpopo Davido kama alishiriki kwenye tuzo hizi, lakini the comfirmed news hadi sasa Diamond kashinda Kora Music Awards, kama the best male Artist in East Africa 2014 through his hit song My number 1 na kakabidhiwa certificate ya Kora awards inayorecognize ushindi wake.

Hongera kijana Dangote.
 
Sasa huyo Davido na East Africa wapi na wapi!?
Kwa East Africa jamaa anachukua kiulaini tu.
Ila kwa sasa mziki wake bado haujafikia level ya wanamuziki wakubwa wa Africa kama Davido, PP na mafikizolo. Kwa kuwa Diamond anajituma na ana nidhamu ktk kazi yake, akiendelea kukaza atafika mbali sana.
Tuzo hazilazimishiki kwa idadi ya kura za hamasa, bali ni kuimba vizuri kuliko washindani wako.
Keep it up Diamond, utafika tu
 
kwani ukisubiri mpaka upate habari kamili kisha uje uibandike hapa je utabadilika jinsia?

Dah huu sijui niuite umbea, upashkuna au ushambenga?
 
Kweli tupu umena mkuu bila ushabiki
 
kwani ukisubiri mpaka upate habari kamili kisha uje uibandike hapa je utabadilika jinsia?

Dah huu sijui niuite umbea, upashkuna au ushambenga?

Hivi umelewa kweli kilichoandikwa au ndo kusema gambe la usiku wa manane ndio limekutuma uteme mchicha hapa.
 
Ni sababu ya kuwa top 20 kwa wiki 13 mfululizo ndugu
 
Attachments

  • 1404442916041.jpg
    115 KB · Views: 992

zile tuzo za kora award zimeshafanyika kule sun city south Africa? mimi hapa umenikoroga.
 
Ni sababu ya kuwa top 20 kwa wiki 13 mfululizo ndugu
So sio kashinda Kora Music Award ni kuwa kwenye top 20 ya clouds ooh sorry ya Kora kwa week 13.Tumekupata tulishapewa matango mwitu hivyo.
 
ndio mkuu zimeshafanyika ila zimebaki tuzo za Afrimama.

zimefanyika lini? na mbona zile tuzo huwa zinatolewa ukumbini hata bwana tajili wa itv mengi aliwahi kualikwa kutoa zile tuzo? hivi ni nini kinaendelea hapa?
 
zimefanyika lini? na mbona zile tuzo huwa zinatolewa ukumbini hata bwana tajili wa itv mengi aliwahi kualikwa kutoa zile tuzo? hivi ni nini kinaendelea hapa?
Matola wanayo isemea hawa ni hii certificate....
 
Last edited by a moderator:
zimefanyika lini? na mbona zile tuzo huwa zinatolewa ukumbini hata bwana tajili wa itv mengi aliwahi kualikwa kutoa zile tuzo? hivi ni nini kinaendelea hapa?

Tuzo hata me najuaga wanatolea ukumbini na zinapigiwa kura jide na ay wameshashiriki mara kadhaa hii nadhan ni certificate tu
 
Ni kile alichopewa na kampuni ya kora kiitwacho cheti cha kora tuzo ya muziki (kora music award certificate) sasa kijana geto kwake atakua na jumla ya idadi ya vyeti viwili kama si vitatu tukianzia na kile cha darasa la saba, iki cha kola na form 4 sina hakika, vingine kama vya casfeta,tycs, usafi shuleni,kiongozi bora shuleni au tamsa kwa hakika ofisi yetu imethibitishiwa hana.

Hongera sana Diamond Platnum kwa kujishindia tuzo.
 
zimefanyika lini? na mbona zile tuzo huwa zinatolewa ukumbini hata bwana tajili wa itv mengi aliwahi kualikwa kutoa zile tuzo? hivi ni nini kinaendelea hapa?

Mkuu kwani kila jambo linalofanyika lazima ujue,? Zoezi la KORA AWARDS limemalizika jana na Kijana Diamond kakabidhiwa special certificate.
 
Mkuu kwani kila jambo linalofanyika lazima ujue,? Zoezi la KORA AWARDS limemalizika jana na Kijana Diamond kakabidhiwa special certificate.

Wewe thinking capacity yako ni ndogo sana,Tafuta kamusi halafu soma kile cheti alichopewa na kwa taarifa yako Redsan pia kapata,Camp Mulla pia!

Washa kudandia vitu usivyovijua urefu wake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…