Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
aje aombee kazi sasa hivyo vyeti
billionaire aombe kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aje aombee kazi sasa hivyo vyeti
Sasa huyo Davido na East Africa wapi na wapi!?
Kwa East Africa jamaa anachukua kiulaini tu.
Ila kwa sasa mziki wake bado haujafikia level ya wanamuziki wakubwa wa Africa kama Davido, PP na mafikizolo. Kwa kuwa Diamond anajituma na ana nidhamu ktk kazi yake, akiendelea kukaza atafika mbali sana.
Tuzo hazilazimishiki kwa idadi ya kura za hamasa, bali ni kuimba vizuri kuliko washindani wako.
Keep it up Diamond, utafika tu
mi kuanzia leo uzi wa daimond sichangii maana nshaona wanatafta kiki
billionaire aombe kazi?
mkuu we post tu ili muladi uwe na comments nyingi hata kama umeongea utumboAiseee sipost tena thread inayomuhusu Diamond maana naona raia wana hasira sana na huyu jamaa, heaven on desert huwa una kazi nzito ndugu yangu..
kwa diamond hiyo ni tuzo ya 2 kwake ya kwanza hollywood walk of fame na hii ya pili ya kora ukiachana na hizi kili awardsChezea mashabiki wa ndomo wewe, hata akipewa chupi tutaambiwa kapata tuzo