Diamond Platinumz aibuka kidedea kwa kushinda KORA MUSIC AWARDS

Diamond Platinumz aibuka kidedea kwa kushinda KORA MUSIC AWARDS

Sasa huyo Davido na East Africa wapi na wapi!?
Kwa East Africa jamaa anachukua kiulaini tu.
Ila kwa sasa mziki wake bado haujafikia level ya wanamuziki wakubwa wa Africa kama Davido, PP na mafikizolo. Kwa kuwa Diamond anajituma na ana nidhamu ktk kazi yake, akiendelea kukaza atafika mbali sana.
Tuzo hazilazimishiki kwa idadi ya kura za hamasa, bali ni kuimba vizuri kuliko washindani wako.
Keep it up Diamond, utafika tu

Mkuu una busara saana; tatizo sijui kama wasanii wetu wanapitaga humu
 
I adore diamond and wema! No news without them!!kubari au kataa!yote sawa!
 
mkuu acha uongo,certificate aliyopewa DIAMOND ni cha kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kora 20 bora..
 
Kuna picha nimeona amepiga na tuzo yake(mbwa) yenye thamani sawa na Verrosa
 
Back
Top Bottom