Diamond Platinumz aibuka kidedea kwa kushinda KORA MUSIC AWARDS

nimeicheki ndio maana nikaiweka humu ni certicate ya achievement kwa kukaa mara 13 mfululizo kwenye top 20 yao mleta mada kaichanganya na tuzo ila tuzo haziwi hivi. hili ndilo tatizo tunalolipigia kelele humu hawa waleta habar zake humu hawaaminiki ndio maana ilibidi nikaitafute nikaipata kwenye page ya fetty insta nakugundua kuwa sio tuzo.. nikaidownload nije niiweke humu, maana sikuiz PRO wa diamond wakileta habar humu kamwe hatutaziamini lazima tuzi hariri... i wonder huyu HOD na wenzie hawakomi tu kutuletea uongo humu.

https://www.facebook.com/koraawardsofficial
 
Haya banah...Na yule mbwa aliyetembea naye ufukweni nadhani angepewa degree ya heshima kwa kuwa hatw JK hajawahi kufanya hivyo...Pia afikiriwe na ka-PHD ka heshima basiiiiii!!!
 
ha ha ha ha mkuu.
..
 
Sisi tulioenda shule vyeti vinaanza kupata kitu kwa kukosa kazi na mwisho wa siku yeye ndo atatuajiri. Tuache vijembe keshatuchapa gap huyu. Tujipangr
 
Daaa amekuwa mtanzania wa kwanza kupata cheti hongera sana diamond.
 
ni kile alichopewa na kampuni ya kora kiitwacho cheti cha kora tuzo ya muziki(kora music award certificate) sasa kijana geto kwake atakua na jumla ya idadi ya vyeti viwili kama si vitatu tukianzia na kile cha darasa la saba, iki cha kola na form 4 sina hakika, vingine kama vya casfeta,tycs, usafi shuleni,kiongozi bora shuleni au tamsa kwa hakika ofisi yetu imethibitishiwa hana.........hongera sana diamond platnum kwa kujishindia tuzo ya american dog....ofisi inakuandalia mapokezi mazito air port...

design kama sijaelewa...
 
Wakuu japokuwa sina uhakika sana kama yule mpopo Davido kama alishiriki kwenye tuzo hizi,

lakini the comfirmed news hadi sasa Diamond kashinda Kora Music Awards, kama the best male Artist in East Africa 2014 through his hit song My number 1 na kakabidhiwa certificate ya Kora awards inayorecognize ushindi wake.

Hongera kijana Dangote.

ungekuwa diamond ningesema mzimu wa davido unakutesa...
 
ni kile alichopewa na kampuni ya kora kiitwacho cheti cha kora tuzo ya muziki(kora music award certificate) sasa kijana geto kwake atakua na jumla ya idadi ya vyeti viwili kama si vitatu tukianzia na kile cha darasa la saba, iki cha kola na form 4 sina hakika, vingine kama vya casfeta,tycs, usafi shuleni,kiongozi bora shuleni au tamsa kwa hakika ofisi yetu imethibitishiwa hana.........hongera sana diamond platnum kwa kujishindia tuzo ya american dog....ofisi inakuandalia mapokezi mazito air port...

ma haterz mna kazi sana
 
aje aombee kazi sasa hivyo vyeti
 
Kwi kwi kwi kwi...
 
Unafki na umbea na majungu.kapewa yes so what.
 
Hiki ndio cheti cha masomo ya elimu ya juu?

Mpe hongera kwa alivhopata lakini sio kuweka uongo mwiiiiingi kwa faida ya nani?
 
Attachments

  • 1404539892225.jpg
    1404539892225.jpg
    66.6 KB · Views: 151
Back
Top Bottom