Diamond Platinumz aibuka kidedea kwa kushinda KORA MUSIC AWARDS


https://www.facebook.com/koraawardsofficial
 
Haya banah...Na yule mbwa aliyetembea naye ufukweni nadhani angepewa degree ya heshima kwa kuwa hatw JK hajawahi kufanya hivyo...Pia afikiriwe na ka-PHD ka heshima basiiiiii!!!
 
Haya banah...Na yule mbwa aliyetembea naye ufukweni nadhani angepewa degree ya heshima kwa kuwa hatw JK hajawahi kufanya hivyo...Pia afikiriwe na ka-PHD ka heshima basiiiiii!!!

ha ha ha ha mkuu.
..
 
Sisi tulioenda shule vyeti vinaanza kupata kitu kwa kukosa kazi na mwisho wa siku yeye ndo atatuajiri. Tuache vijembe keshatuchapa gap huyu. Tujipangr
 
Daaa amekuwa mtanzania wa kwanza kupata cheti hongera sana diamond.
 
Lady Jaydee ana tuzo ya Channel O.
Ova.
 

design kama sijaelewa...
 

ungekuwa diamond ningesema mzimu wa davido unakutesa...
 

ma haterz mna kazi sana
 


aje aombee kazi sasa hivyo vyeti
 

Kwi kwi kwi kwi...
 
Unafki na umbea na majungu.kapewa yes so what.
 
Hiki ndio cheti cha masomo ya elimu ya juu?

Mpe hongera kwa alivhopata lakini sio kuweka uongo mwiiiiingi kwa faida ya nani?
 

Attachments

  • 1404539892225.jpg
    66.6 KB · Views: 151
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…