Namuona Akon hapo,hao watoto kwanini wamewapaka hivyo midomo
ABSOLUTELY right....mkuu agiza fursana bariiiiiiid kwa mangi naja lipatatizo wabongo tuna upeo mdogo sana wa kufikiri we unadhani hizo rangi kwenye midomo ni ""MAPAMBO""??? Am sure akili yako ndio ilivyokudanganya.. hayo siyo mapambo hiyo inawakilisha bendera ya taifa na alama za taifa, hata Wajerumani, Wafaransa na nchi mbalimbali hufanya hivyo ili kukuza tamaduni za bendera na alama za taifa ndio maana unaona hizo rangi zinatofautiana.. nadhani ni upeo wako finyu wa kufikiri!!!
huyo president havaagi SutiHuyo jamaa ndie Rais?
Hahahaha eti hawanihusu hahahahSi kwamba sijawaona, bali hawanihusu. Anayenihusu ni Diamond Platinumz pekee, Mtanzania pekee anayeiletea heshima Tanzania katika sekta ya muziki.
Lazma amvute Akon pembeni waongee mawili matatuMzee wa fursa
hatatoka kapa hapo
Hivyo vitoto vikifikia umri wa kikubwa, haa vitakuwa mboga tamu sana!!
Kiba kaenda ndondo cup
Kesho utaiona.Mbona siioni bendera ya Taifa aliyopewa na nape au kashainywa
Naam. Jibu murua kabisa. Wanigeria wao wataripoti 'Picha : Davido akiwa na Rais wa Gabon'Si kwamba sijawaona, bali hawanihusu. Anayenihusu ni Diamond Platinumz pekee, Mtanzania pekee anayeiletea heshima Tanzania katika sekta ya muziki.
Mkuu tatizo nini?Yaani umegoogle wee safari ya diamond kwenda gabon ukakosa video toka utube then ukaona hii pic ni ya maana sana. Tena na heading juu DIAMOND APIGA PICHA NA RAIS WA GABON kweli? Siku akipiga picha na mke wa Trump haki ya nani mtaandika BREAKING NEWS: DIAMOND APIGA PICHA NA MKE WA DUNIA. sorry namaanisha mama dunia
Hivi ndivyo ilitakiwa kuandikwa..Usahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo
We ndo umesema vizuri sasa achana na mtoa thread anatuletea ushabikiUsahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo