Diamond Platinumz akiwa na rais wa Gabon

Diamond Platinumz akiwa na rais wa Gabon

Hivyo vitoto vikifikia umri wa kikubwa, haa vitakuwa mboga tamu sana!!
 
tatizo wabongo tuna upeo mdogo sana wa kufikiri we unadhani hizo rangi kwenye midomo ni ""MAPAMBO""??? Am sure akili yako ndio ilivyokudanganya.. hayo siyo mapambo hiyo inawakilisha bendera ya taifa na alama za taifa, hata Wajerumani, Wafaransa na nchi mbalimbali hufanya hivyo ili kukuza tamaduni za bendera na alama za taifa ndio maana unaona hizo rangi zinatofautiana.. nadhani ni upeo wako finyu wa kufikiri!!!
ABSOLUTELY right....mkuu agiza fursana bariiiiiiid kwa mangi naja lipa
 
Huyo jamaa ndie Rais?
huyo president havaagi Suti
yeye ni hizo nguo za dizaini ya kifalme kanzu kanzu... sijawahi muona Press Ali Bongo in Suti
halafu inaontesha watu waGabon wanampenda Sana.
na ni MTU mstaarabu.
Namuonaga GyanTv ,au TV Gabon( sijui lakini Kama kweli mstaarabu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125])
 
Yaani umegoogle wee safari ya diamond kwenda gabon ukakosa video toka utube then ukaona hii pic ni ya maana sana. Tena na heading juu DIAMOND APIGA PICHA NA RAIS WA GABON kweli? Siku akipiga picha na mke wa Trump haki ya nani mtaandika BREAKING NEWS: DIAMOND APIGA PICHA NA MKE WA DUNIA. sorry namaanisha mama dunia
 
Bhas wamevimba na heren zao utadhan ndo wamekutana na trump
 
Si kwamba sijawaona, bali hawanihusu. Anayenihusu ni Diamond Platinumz pekee, Mtanzania pekee anayeiletea heshima Tanzania katika sekta ya muziki.
Naam. Jibu murua kabisa. Wanigeria wao wataripoti 'Picha : Davido akiwa na Rais wa Gabon'
 
Yaani umegoogle wee safari ya diamond kwenda gabon ukakosa video toka utube then ukaona hii pic ni ya maana sana. Tena na heading juu DIAMOND APIGA PICHA NA RAIS WA GABON kweli? Siku akipiga picha na mke wa Trump haki ya nani mtaandika BREAKING NEWS: DIAMOND APIGA PICHA NA MKE WA DUNIA. sorry namaanisha mama dunia
Mkuu tatizo nini?
 
huyu kisha potea , hizo fashion zake, nywele, tattoos na hereni karibu utasikia mengine ya tabia mbaya - hizi ndio huwa dalili za kuelekea huko
 
Back
Top Bottom