Ww umeisha wah kukaa nae akakupa hayo mawil matatu.Diamond Platinumz; Balozi wa TZ duniani kote..
Acheni kiburi, kaeni na huyu jamaa awape mawili matatu..
Mkijifanya wajuaji mtaishia Mombasa tu!
Unauliza upara kwa magufuri.Huyo jamaa ndie Rais?
Super star wa Africa katika ubora wake, siku si nyingi utasikia ana bifu na p square, AkonView attachment 459621
Diamond Platinumz akiwa na Rais wa Gabon Ali Bongo Odimba
View attachment 459622
View attachment 459623
Basi roho yako imeridhiiiika mwanaume wa daresalama!Amshukuru Akon, naamini huyo rais hamjui domo
Kiba alikuwa Ukerewe anazindua Furu cupKiba kaenda ndondo cup
Mdumange ndio utambulisho wa tanzania? Labda huko kwenu tanga ndio utambulisho mkienda kumposa mwali.......Anawakilisha taifa gani? Katika eneo gani?
Angalieni tulivyopotea!
Alama ya utaifa au utanzania iko wapi hapo?
Utamaduni wa mtanzania ni upi hapo? Kwa hicho kijisuruali amevaa utafikiri anazuia naniliu?
Kwa hvyo alivyoweka kichwa chake kama ndege?
Tanzania ni kubwa na ina utambulisho wake ni heri mngenipeleka na ngoma langu la mdumange!
Itakua vizuri mkisema msanii wa muziki toka Tanzania na sio mwakilishi wa Tanzania,
Tafadhali tuheshimiane
Hao wamedandia picha tuUsahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo
Halafu akikabidhiwa bendera watu wananuna. Sasa akikutana na rais wa nchi atajitambulishaje kama yeye ni Mtz kama hana bendera?Si kwamba sijawaona, bali hawanihusu. Anayenihusu ni Diamond Platinumz pekee, Mtanzania pekee anayeiletea heshima Tanzania katika sekta ya muziki.
Mdogo wake au mkewe?Duh... Hizi pamba alizotupia nimejikuta nacheka tu.... Hivi nyie vijana, kwanini mnavaa nguo za wadogo zenu kwani size yenu hakuna?
Aisee chali yangu unanikosea heshima, mi natokea MbuluBasi roho yako imeridhiiiika mwanaume wa daresalama!
Hahaa, kweliDiamond Platinumz; Balozi wa TZ duniani kote..
Acheni kiburi, kaeni na huyu jamaa awape mawili matatu..
Mkijifanya wajuaji mtaishia Mombasa tu!