Diamond Platinumz akiwa na rais wa Gabon

Diamond Platinumz akiwa na rais wa Gabon

Diamond Platinumz; Balozi wa TZ duniani kote..

Acheni kiburi, kaeni na huyu jamaa awape mawili matatu..
Mkijifanya wajuaji mtaishia Mombasa tu!
Ww umeisha wah kukaa nae akakupa hayo mawil matatu.
 
Anawakilisha taifa gani? Katika eneo gani?

Angalieni tulivyopotea!

Alama ya utaifa au utanzania iko wapi hapo?

Utamaduni wa mtanzania ni upi hapo? Kwa hicho kijisuruali amevaa utafikiri anazuia naniliu?

Kwa hvyo alivyoweka kichwa chake kama ndege?

Tanzania ni kubwa na ina utambulisho wake ni heri mngenipeleka na ngoma langu la mdumange!

Itakua vizuri mkisema msanii wa muziki toka Tanzania na sio mwakilishi wa Tanzania,

Tafadhali tuheshimiane
 
Tanzania bana aah hapendwi mtu hapa.kila mtu nchi hii mbaya yaani hata sijui tupewe nini!
 
Anawakilisha taifa gani? Katika eneo gani?

Angalieni tulivyopotea!

Alama ya utaifa au utanzania iko wapi hapo?

Utamaduni wa mtanzania ni upi hapo? Kwa hicho kijisuruali amevaa utafikiri anazuia naniliu?

Kwa hvyo alivyoweka kichwa chake kama ndege?

Tanzania ni kubwa na ina utambulisho wake ni heri mngenipeleka na ngoma langu la mdumange!

Itakua vizuri mkisema msanii wa muziki toka Tanzania na sio mwakilishi wa Tanzania,

Tafadhali tuheshimiane
Mdumange ndio utambulisho wa tanzania? Labda huko kwenu tanga ndio utambulisho mkienda kumposa mwali.......
Acha kuidhalilisha nchi yetu na mdumange wako muishie huko huko kwa wasambaa
 
Si kwamba sijawaona, bali hawanihusu. Anayenihusu ni Diamond Platinumz pekee, Mtanzania pekee anayeiletea heshima Tanzania katika sekta ya muziki.
Halafu akikabidhiwa bendera watu wananuna. Sasa akikutana na rais wa nchi atajitambulishaje kama yeye ni Mtz kama hana bendera?
"Kunywa maji mwanangu"
 
And Haters will hate[emoji4] tulizeni mshono raisi wa wasafi awanyooshe
 
Back
Top Bottom