Diamond Platinumz alivyomtembelea Balozi Kairuki alivaa kiholela. Muone 50 cent sasa!

Diamond Platinumz alivyomtembelea Balozi Kairuki alivaa kiholela. Muone 50 cent sasa!

Diego Santana

Senior Member
Joined
May 10, 2025
Posts
147
Reaction score
218
Tofauti kubwa iliyopo kati ya Wasanii wa Ulaya/Marekani ni kujua jinsi ya kuvaa kulingana na mazingira. When you're in Rome, live like the Romans.

Hakika Masikini wa Marekani sio sawa na Masikini wa Tanzania, and the same applies to other professions as well.

1751889269460.jpg

images (30).jpeg

50 Cent, whose real name is Curtis Jackson, visited Capitol Hill to advocate for greater minority representation in the luxury spirits industry, specifically highlighting his own liquor brand, Sire Spirits. He was accompanied by civil rights attorney Ben Crump and aimed to address the lack of Black entrepreneurs in the field and the challenges his company faced with Suntory Global Spirits.
 
Post za watoto wa kiume wakimind vitu ambavyo kwa kawaida huwa sisi wanaume hatupqswi hata kuvizingatia zimekua nyingi sana.
#Mala mo Salah hajampost mwenzie alofariki...
#Mala Sam Magoli hakumwamisha mzee wake mtaa wa makabwela mpakq kafia hapo.

Saiv mwanaume yupo anajadili nguo za mwanaume mwingine. ....

VIPI KAVAA DELA HUYO MONDI AU KAVAA SURIALI?
 
Jifunzeni ustaarabu wapuuzi nyie
 
Tofauti kubwa iliyopo kati ya Wasanii wa Ulaya/Marekani ni kujua jinsi ya kuvaa kulingana na mazingira. When you're in Rome, live like the Romans.

Hakika Masikini wa Marekani sio sawa na Masikini wa Tanzania, and the same applies to other professions as well.

View attachment 3397319

View attachment 3397320
takataka..... eti kukata viuno ndio umaarufu...rubbish!
 
Muktadha lazima uzingatiwe, ila bungeni hivyo hawezi ingia.
 
Watakuwa walimkamua sana Kodi kiasi kwamba hajali chochote anawaona wahuni tu, anaona anaenda kuonana na muhuni hawezi kuwa na heshima😀😀. Serikali isimdai Kodi ya dhurma kijana maana atakuwa anashindwa kuwaheshimu wote walioko serikalini
 
Back
Top Bottom