Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Mademu zake soon Watakuja hapa na watakwambia kwa sababu diamond ni tajiri kuliko 50 cent… wapo humu mademu zake soon watatiririka kwenye nyuzi hii. Bongo yetu ina mavijana mapumbavu sana! 😔
Kipenzi Changu njoo tazama hii uwa-tag na wale wahuni waliokushukia vikali kwenye uzi wako
Kipenzi Changu njoo tazama hii uwa-tag na wale wahuni waliokushukia vikali kwenye uzi wako