Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Hivi kwanini Chadema isifutwe?! 🤔Hata 50 Cent anaishi akilini hata kama simfahamu,
Ishu inakuja ni utambuzi binafsi, 50 Cent anajua ninakutana na nani katika mazingira yapi na natakiwa niwe na dress code zipi kwa ofisi nitakayoingia mda huo.
Diamond hajaenda kwenye show pale, hamna jukwaa ubalozini, hawezi leta umbagala kisa tu ana uhuru wake
Diamond mwenyewe hapo kakosa utambuzi, umbagala siyo wa kila mahali
Maana ina majitu makorofi yanayopenda kubishania ujinga tu ulio wazi
Cc: Kiranga