Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Msuruali wa Diamond utadhani kapu la kuendea sokoni
Namna gani tena hapa?Ku-mind vitu vidogo vidogo huenda ni dalili kuwa una akili sana au hauna akili kabisa.
Kwahiyo shule ndo zinazalisha majitu makorofi, ******* na yanayopenda migogoro ya kichokochoko kama chadema?!Basi tufute na shule kabisa, maana ndiyo source ya kila anayejua kusoma na kuhoji.
Ona ulivyo mpuuzi!Kwanza kabisa, ukisikia Wamarekani... kwa kauli yoyote inayotaka kuwalundika Wamarekani pamoja, mara nyingi hiyo habari inakuwa ni overgeneralization.
Wamarekani ni wengi sana, wako tofauti sana, na kuwalundika hivyo si haki.
Kama ulifuatilia habari za Zelensky na Trump kuanzia mavazi mpaka mazungumzo kuna Wamarekani wengi sana walikuwa upande wa Zelensky na wengine wengi sana walikuwa upande wa Trump.
Nchi imegawanyika pasu pasu kwa hiyo swali lako lililoulizwa kama vile Wamarekani walikuwa na msimamo mmoja kuhusu hilo jambo kimsingi halina ukweli.
Halina umuhimu kwako kwa sababu ndo uwezo wako ulipoishia wa kuchambua mambo…Kuielekeza akili kuchambua suala ambalo halina umuhimu wowote ni dalili za mtu asiyekuwa na akili kabisa.
Sisi ndo tunakwambia… HANA HIYO PESAhyo rubbish imemtajirisha (>USD 10 Million) na kuheshimika
Kukuelewa si mpaka uwe unaeleweka kwanza.Sikuwa nahusisha uzi huu na kauli yangu… natumaini umenielewa ila unajiulizisha ujinga
Straight to ignore list.Ona ulivyo mpuuzi!
Wapi walikuwa kati ya upande wa Zelensky na Donald Trump?!
Chadema ina majitu ya hovyo sana!
Mimi sina akili sana.Chambua wewe basi na ripoti zako peleka mahala husika tukuone
Post za watoto wa kiume wakimind vitu ambavyo kwa kawaida huwa sisi wanaume hatupqswi hata kuvizingatia zimekua nyingi sana.
#Mala mo Salah hajampost mwenzie alofariki...
#Mala Sam Magoli hakumwamisha mzee wake mtaa wa makabwela mpakq kafia hapo.
Saiv mwanaume yupo anajadili nguo za mwanaume mwingine. ....
VIPI KAVAA DELA HUYO MOND!aI AU KAVAA SURIALI?
If that's the case, angeenda uchi basi ili aongelewe zaidi na zaidiMkuu,
Ushamba ni kum judge Diamond kwa mavazi wakati Diamond kavaa mavazi yale ili wewe umuongelee hivi unavyomuongelea.
Hujaelewa strategy ya Diamond ni wewe umuongelee hivihivi unavyomuongelea umeingia katika reli zake vizuri sana kakuchota akili vilevile alivyotaka.
Diamond anaishi akilini kwako bila kulipa kodi wakati yeye hata hakujui.
Hapo nani mshamba sasa?
Unaweza kula kinyesi kama Messi kala??Ni wabongo tuna tabu ama nini?
Ushawahi iona picha ya messi alipoenda Gabon!?
Toa ujuaji wako wa kijinga hapa;50 Cent alikuwa na kesi pale kavaa mavazi ya kwenda mahakamani.
Hahaha, wabongo tuna mindset za ajabu sana.Sasa naelewa zaidi kwa nini nilikuwa nakataa mialiko ya balozi kwenda nyumbani kwake kukutana na rais.
Hapana.If that's the case, angeenda uchi basi ili aongelewe zaidi na zaidi
Wabongo wengi wana Stockholm Syndrome.Hahaha, wabongo tuna mindset za ajabu sana.
Kuny@ barabarani uone kama hiyo ni issue personalHivi kwanini wabongo hatu wezi kutoa hoja mpaka tuanze ku grad grade watu au vitu personal?.
okay, Forbes ni wazushi we ndyo unayejua zaidiSisi ndo tunakwambia… HANA HIYO PESA
Kijana alichowin ni umaarufu na kupata mademu wengi ambao hata wanaweza kumtungia uongo kumnadi na kumtangaza while yeye mwenyewe hajawatuma
Nchi ina vijana ******* sana hii… acha tuendelee kuwaburuzeni mafala nyinyi, kwa akili hizi 🤣🙌🏾