Diego Santana
Senior Member
- May 10, 2025
- 147
- 218
Maskini utamuona tu.Tofauti kubwa iliyopo kati ya Wasanii wa Ulaya/Marekani ni kujua jinsi ya kuvaa kulingana na mazingira. When you're in Rome, live like the Romans.
Hakika Masikini wa Marekani sio sawa na Masikini wa Tanzania, and the same applies to other professions as well.
View attachment 3397319
View attachment 3397320
Jifunzeni ustaarabu wapuuzi nyiePost za watoto wa kiume wakimind vitu ambavyo kwa kawaida huwa sisi wanaume hatupqswi hata kuvizingatia zimekua nyingi sana.
#Mala mo Salah hajampost mwenzie alofariki...
#Mala Sam Magoli hakumwamisha mzee wake mtaa wa makabwela mpakq kafia hapo.
Saiv mwanaume yupo anajadili nguo za mwanaume mwingine. ....
VIPI KAVAA DELA HUYO MONDI AU KAVAA SURIALI?
Mikato mpaka Ikulu ndogo??Wenyewe wanaiita mikato au unyamwezi.
Vijana/Wasanii wajinga sana hawaUshamba mzigo ndicho kinachowatesa wasafi wa nguo
wenyewe hawaelewi ama ni ikulu au wapi wanazingatia unyamweziMikato mpaka Ikulu ndogo??
takataka..... eti kukata viuno ndio umaarufu...rubbish!Tofauti kubwa iliyopo kati ya Wasanii wa Ulaya/Marekani ni kujua jinsi ya kuvaa kulingana na mazingira. When you're in Rome, live like the Romans.
Hakika Masikini wa Marekani sio sawa na Masikini wa Tanzania, and the same applies to other professions as well.
View attachment 3397319
View attachment 3397320
Balozi mwenyewe hajamind.Ku-mind vitu vidogo vudogo huenda ni dalili kuwa una akili sana au hauna akili kabisa.