PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
UmeonaaMdogo mdogo tu pesa inaingia
Huyu jamaa ana ni inspire kinoma.Ubuyu wote uko hapa
Hizi karanga zilikufa kabisa naona kama yy ameamua kuzifufuaWatanzania acheni ushamba wa kuamini kila kitu mnacho ambiwa na hao matapeli mafreemason. Hizi karanga zipo sokon mwaka wa pili huu sasa angalia tarehe hapo chini afu anawadanga kuwa kampuni yake kisa tu imeandikwa diamond si aseme tu kama ni tangazo? Dalili za kuishiwa ndio hizo sasa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ali Kiba anazo karanga zake mda mrefu tu sema hapendi show off