PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Ubuyu wote uko hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmeonaaMdogo mdogo tu pesa inaingia
Huyu jamaa ana ni inspire kinoma.Ubuyu wote uko hapa
![]()
![]()
Hizi karanga zilikufa kabisa naona kama yy ameamua kuzifufuaWatanzania acheni ushamba wa kuamini kila kitu mnacho ambiwa na hao matapeli mafreemason. Hizi karanga zipo sokon mwaka wa pili huu sasa angalia tarehe hapo chini afu anawadanga kuwa kampuni yake kisa tu imeandikwa diamond si aseme tu kama ni tangazo? Dalili za kuishiwa ndio hizo sasa.![]()
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ali Kiba anazo karanga zake mda mrefu tu sema hapendi show off