Babu Msomali
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 265
- 785
Kantoni ni bidhaa mpya pia za Chibu?Mwenzenu anaingiza hela nyinyi mnakaa kumcheka
Akiuza kantoni 1000 kila siku ana uhakika wa 20mil kwa mwezi hakosi 200mil hapo kabla ya kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kantoni ni bidhaa mpya pia za Chibu?Mwenzenu anaingiza hela nyinyi mnakaa kumcheka
Akiuza kantoni 1000 kila siku ana uhakika wa 20mil kwa mwezi hakosi 200mil hapo kabla ya kodi
Acha wivu wa kike mbona mbona wewe huna mwenzio anaingiza pesaUbuyu wote uko hapa
![]()
![]()
20*30=200Mwenzenu anaingiza hela nyinyi mnakaa kumcheka
Akiuza kantoni 1000 kila siku ana uhakika wa 20mil kwa mwezi hakosi 200mil hapo kabla ya kodi
Hizo karanga zimeanza kuuzwa kitambo sana labda wewe mleta mada haupo updated.Ubuyu wote uko hapa
![]()
![]()
mash allah princess.hizo karanga ziko sokoni long kidogo
![]()
nmezitafuna kama mwezi wa4 hivi nilavipenda. kilichonifanya nipige picha nilicheka mama angu aliponiletea mtu mzima kama mimi hio karanga kisa mziwanda[emoji1] [emoji1]
Hii ni biashara safi sana kupita kiasi.Ubuyu wote uko hapa
![]()
![]()
Shida iko wapi, si anapata pesa piaHapa ndipo.ninapo amini kwamba chibu pafyumu sio yake.
NI MTANGAZA BIASHARA ZA WATU.
Sasa asitudanganye kuwa za kwake.kwani akisema anatangaza biashara watu hawatanunua?Shida iko wapi, si anapata pesa pia
Ulikuwa hujui mkuu iyo nchi ni ya mang'ombe , kila kitu kwao ni kupongeza au kupinga bila kuwa na full dataWatanzania acheni ushamba wa kuamini kila kitu mnacho ambiwa na hao matapeli mafreemason. Hizi karanga zipo sokon mwaka wa pili huu sasa angalia tarehe hapo chini afu anawadanga kuwa kampuni yake kisa tu imeandikwa diamond si aseme tu kama ni tangazo? Dalili za kuishiwa ndio hizo sasa.![]()
Acha roho mbaya. Ndio maana masikiniWatanzania acheni ushamba wa kuamini kila kitu mnacho ambiwa na hao matapeli mafreemason. Hizi karanga zipo sokon mwaka wa pili huu sasa angalia tarehe hapo chini afu anawadanga kuwa kampuni yake kisa tu imeandikwa diamond si aseme tu kama ni tangazo? Dalili za kuishiwa ndio hizo sasa.![]()
Roho mbaya, ndio maana bado uko masikiniAli Kiba anazo karanga zake mda mrefu tu sema hapendi show off