Diamond Platinumz ameamua sasa kuuza karanga

Diamond Platinumz ameamua sasa kuuza karanga

Muziki ushamshinda,watoto 5 sasa anao mlitaka afanye nini?
 
Ubuyu wote uko hapa
f4b72c633dc66fcbe664345539b15716.jpg

4c4453681c643a8e3399cc32dbc1b259.jpg
Acha wivu wa kike mbona mbona wewe huna mwenzio anaingiza pesa
 
Mwenzenu anaingiza hela nyinyi mnakaa kumcheka
Akiuza kantoni 1000 kila siku ana uhakika wa 20mil kwa mwezi hakosi 200mil hapo kabla ya kodi
20*30=200
 
waha kwa biashara za karanga,kahawa na kashata wako vizuri mchikichini wamejaa sasa huyu atakuwa anadumisha mila.
 
hizo karanga ziko sokoni long kidogo
d7451980200d1c6567e526028f477326.jpg

nmezitafuna kama mwezi wa4 hivi nilavipenda. kilichonifanya nipige picha nilicheka mama angu aliponiletea mtu mzima kama mimi hio karanga kisa mziwanda[emoji1] [emoji1]
mash allah princess.
 
Hongera Diamond, ndivyo inahita "KUIZUNGUUSHA"
 
Ana mpango wa kutulaza njaa..

Sisi biashara ya Karanga ndio inatuwezesha kumudu gharama za maisha...!!

Kama biashara ameingia huyu freemason, sina hakika tena na soko la wateja wangu, ndio wakati wa kurudi Shamba/Kijijini huu.
 
Hahah eti anashindana na wauza ubuyu wa Shilawadu under sponsorship of Baba mlezi wa WCB bwn Bashite.
 
Watanzania acheni ushamba wa kuamini kila kitu mnacho ambiwa na hao matapeli mafreemason. Hizi karanga zipo sokon mwaka wa pili huu sasa angalia tarehe hapo chini afu anawadanga kuwa kampuni yake kisa tu imeandikwa diamond si aseme tu kama ni tangazo? Dalili za kuishiwa ndio hizo sasa.
49fac24383ef061470748956a57c43ab.jpg
Ulikuwa hujui mkuu iyo nchi ni ya mang'ombe , kila kitu kwao ni kupongeza au kupinga bila kuwa na full data
 
Watanzania acheni ushamba wa kuamini kila kitu mnacho ambiwa na hao matapeli mafreemason. Hizi karanga zipo sokon mwaka wa pili huu sasa angalia tarehe hapo chini afu anawadanga kuwa kampuni yake kisa tu imeandikwa diamond si aseme tu kama ni tangazo? Dalili za kuishiwa ndio hizo sasa.
49fac24383ef061470748956a57c43ab.jpg
Acha roho mbaya. Ndio maana masikini
 
Back
Top Bottom