Diamond Platinumz ameamua sasa kuuza karanga

Naipenda Sana Jf Haisemagi Uwongo
 
Nice move
Watanzania achen majungu
Mbona boss wa azam aliuza chapat na unaheshmu
Acheni ujinga na wivu
 
Huyu kwisha habari yake haji juu tena kwenye ulimwengu wa music
 
hizo karanga ziko sokoni long kidogo


nmezitafuna kama mwezi wa4 hivi nilavipenda. kilichonifanya nipige picha nilicheka mama angu aliponiletea mtu mzima kama mimi hio karanga kisa mziwanda[emoji1] [emoji1]
 
Hapa ndipo.ninapo amini kwamba chibu pafyumu sio yake.
NI MTANGAZA BIASHARA ZA WATU.
 
congrates kwake....chibu perfume sio zimebuma kwani bakhresa na viwanda vingapi...au dewji ana viwanda vingapi....hapo anatengeneza wigo kila kona kwa ajili ya kujipatia ujira
 
Mwenzenu anaingiza hela nyinyi mnakaa kumcheka
Akiuza kantoni 1000 kila siku ana uhakika wa 20mil kwa mwezi hakosi 200mil hapo kabla ya kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…