Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

Utubora

Senior Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
141
Reaction score
19
Msanii wa kizazi kipya Diamond Platinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote katika nchi hii!

Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari linatumiwa na viongoz wa juu nchini km waziri mkuu na baadhi ya mawaziri !

Inakadiriwa kuwa na dhamani ya mil 300! Ni dhahiri shairi huyo kijana sasa ametoka! ! Hongerasana naseeb!

1622120130042.png
 
Ni mpya! Acha mbwembwe wewe, unafahamu bei ya vx v8 mpya wewe?! . Nampongeza hata hivyo na wengine waige lakini kuwekeza ni vema zaidi kuliko Magari ya kifhali, hivyo wajipime kwanza!
 
Ni v8 mpya kaka na bei yake ndo kwenye mil 300! Cyo ile prado ya zaman ! Dogo kaingiza mkoko mpya juzi kati!
 
Itakuwa BMW X6 mzee! Ila sasa kwa bongo ni msanii gani anaimiliki? Labda presidenti mwenyewe!
 
Lazamami unalo hujuwi magari yanayo toka bandarin asilimia 90 niyazamani lakini kwasababu mdio umekipata na hukuwa nacho nikipya kaka mtowamada hana jipya nawewe tuoneshe jipya lako tulitasmini ongera sana diamond upo juu kuliko wenzako na huna kiburi watachonga sana ma kupakazia sana wakamwambie huyo mganga wao yahaya unazidi kupaa kaza buti plutnum
 
Dogo awekeze maake ni kweli mziki hautabiriki lakini ni ukweli dogo kapiga hatua sana kwenye sanaa! Hatutegemei aje kua km mr nice au kandabongoman anaefanya kazi km mhudumu ktk shell moja!
 
Msanii wa kizazi kipya diamond platinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote ktk nchi hii! Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari linatumiwa na viongoz wa juu nchini km waziri mkuu na baadhi ya mawaziri ! Inakadiriwa kuwa na dhamani ya mil 300! Ni dhahiri shairi huyo kijana sasa ametoka! ! Hongerasana naseeb!

Mind you, ufahari si kutoka. Yapo matumizi mengine muhimu ambayo fedha hiyo ingefanya. Watu hupata fedha na kuzitumia vizuri ajabu fani ya usanii duniani kote ndiyo ilimwagiwa laana ya kupenda ufahari. Ametoka na unampongeza? Pole sana.
 
2.jpg

"Ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa mjinga utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda U-smart anautinga majumba mandinga ya bwana almasi,je hizi tracks za harakati ni ujinga? Hapana nguvu ya mamba ni maji na umaarufu au kutamba kushika namba ni Bahati"
 
Msanii wa kizazi kipya diamond platinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote ktk nchi hii! Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari linatumiwa na viongoz wa juu nchini km waziri mkuu na baadhi ya mawaziri ! Inakadiriwa kuwa na dhamani ya mil 300! Ni dhahiri shairi huyo kijana sasa ametoka! ! Hongerasana naseeb!

Kiswahili ni lugha yako ya taifa.

"dhamani" = thamani
 
Back
Top Bottom