Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

Sioni sababu ya kumwagia misifa tele msanii anaefanya mambo yasiyokuwa na msaada wowote ktk jamii tujiulize huyo diamond amefanya jambo gani km mchango wake ktk huduma za kijamii zaidi ya majigambo yakununua v8,wasanii wa kibongo waache ulimbukeni,waige mifano wanayoifanya kina chamelion huko kwao uganda

Unaposema msaada kwa jamii sijui unamaanisha nini ndugu..tuache kutumia maneno ndivyo sivyo...hivi wewe umeisaidia hiyo jamii kwa kiwango gani ? au unadhani wewe ndio unapata thawabu zaidi ya Diamond kwa kuwa tu yeye kanunua V8 na wewe hujanunua ?...

Hata hao wafalme kina Suleiman walikuwa wanamiliki dhahabu za thamani kubwa..sasa je kwa tafsiri yako wao hawakuwa na thawabu ndani ya jamii zao ?

Ngoja nikwambie kitu ndugu...kuna uwezekano kuwa Diamond ana faida kubwa kwa jamii yetu kuliko uwepo wako wewe usiyenacho..kwani yeye kwa kutumia pesa alizozivujia jasho kwa kujituma na sasa kwa kununua hiyo V8 amechangia pakubwa kupitia kodi ya kununulia hiyo V8 kuliko wewe uliyeishia kununua jiko la mchina...na bado ataendelea kulipa road licence na mengine mengi kuchangia mfuko wa taifa watu wapate dawa maji na barabara.

Pia tusijidanganye kuwa kuisaidia jamii ni kupitia pesa peke yake....je wewe kwa upande wako umefanya mangapi ? au unasubiri hadi upate pesa kama za Diamond ? ni lini umechukua jembe ukaenda shambani ukalima na baada ya kuvuna ukaenda kutoa hayo mazao kwa jamii isiyonacho ? au kwako huo utakuwa sio msaada ?

Nadhani mnaostahili kuwahoji na kuwawajibisha zaidi ni viongozi wenu waliokuja kwenu na kuomba muwachague kwa ahadi kuwa watazimaliza shida zenu badala yake wanaishia kuzitumbua hizo pesa zetu wote kwa kulipana posho, kuandaa semina zisizo na vichwa wala miguu na safari za nje za kila siku.... badala ya kuishia kumlaumu mtu aliyechuma kwa jasho lake na kutaka awasaidie hata wale wasiojitumikisha.

Kusaidia kwake inabaki kuwa ni hiyari zaidi kuliko wajibu.

Mwisho wa siku Diamonda anatuburudisha....weye je ?
 
2.jpg

"Ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa mjinga utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda U-smart anautinga majumba mandinga ya bwana almasi,je hizi tracks za harakati ni ujinga? Hapana nguvu ya mamba ni maji na umaarufu au kutamba kushika namba ni Bahati"
Kweli kila kitabu na zama zake,siku hizi kuvaa sarawale za vitambaa vya kushona magauni ndio fashoo,ingekuwa zamani huyu bwana angeitwa mtoto si riziki
 
Unajua maana ya PLC!?
Kwani kuna benki Tanzania ambayo sio PLC??

1. Sio bank zote ni PLC; PLC ni CRDB, NMB, DCB na KCB tu.
PLC - Public Listed Company maana yake ni kampuni ambayo imesajiri mtaji wake kwenye soko la mtaji, kwa Tanzania tuna DSE, ambapo kila mtu (Public) anaweza kununua hisa na kuwa mmliki wa kampuni hiyo.

2. Benki nyingi zimebadilisha majina kwa kuondoa virefu, so CRDB, KCB, DCB, DTB, NBC, NMB ni stand alone names, sina uhakika kwa benki kama BOA, BBT, SCB etc na zinginezo.

NOTE: NBC Bank Limited inatumika interchangeably na National Bank of Commerce so do NMB to National Microfinance Bank.

CC: Moudy Boka
 
Asante kwa taarifa mkuu Kanigini, tole shihamo nkoyi.
1. Sio bank zote ni PLC; PLC ni CRDB, NMB, DCB na KCB tu.
PLC - Public Listed Company maana yake ni kampuni ambayo imesajiri mtaji wake kwenye soko la mtaji, kwa Tanzania tuna DSE, ambapo kila mtu (Public) anaweza kununua hisa na kuwa mmliki wa kampuni hiyo.

2. Benki nyingi zimebadilisha majina kwa kuondoa virefu, so CRDB, KCB, DCB, DTB, NBC, NMB ni stand alone names, sina uhakika kwa benki kama BOA, BBT, SCB etc na zinginezo.

NOTE: NBC Bank Limited inatumika interchangeably na National Bank of Commerce so do NMB to National Microfinance Bank.

CC: Moudy Boka
 
Unaposema msaada kwa jamii
sijui unamaanisha nini ndugu..tuache kutumia maneno ndivyo sivyo...hivi
wewe umeisaidia hiyo jamii kwa kiwango gani ? au unadhani wewe ndio
unapata thawabu zaidi ya Diamond kwa kuwa tu yeye kanunua V8 na wewe
hujanunua ?...

Hata hao wafalme kina Suleiman walikuwa wanamiliki dhahabu za thamani
kubwa..sasa je kwa tafsiri yako wao hawakuwa na thawabu ndani ya jamii
zao ?

Ngoja nikwambie kitu ndugu...kuna uwezekano kuwa Diamond ana faida kubwa
kwa jamii yetu kuliko uwepo wako wewe usiyenacho..kwani yeye kwa
kutumia pesa alizozivujia jasho kwa kujituma na sasa kwa kununua hiyo V8
amechangia pakubwa kupitia kodi ya kununulia hiyo V8 kuliko wewe
uliyeishia kununua jiko la mchina...na bado ataendelea kulipa road
licence na mengine mengi kuchangia mfuko wa taifa watu wapate dawa maji
na barabara.

Pia tusijidanganye kuwa kuisaidia jamii ni kupitia pesa peke yake....je
wewe kwa upande wako umefanya mangapi ? au unasubiri hadi upate pesa
kama za Diamond ? ni lini umechukua jembe ukaenda shambani ukalima na
baada ya kuvuna ukaenda kutoa hayo mazao kwa jamii isiyonacho ? au kwako
huo utakuwa sio msaada ?

Nadhani mnaostahili kuwahoji na kuwawajibisha zaidi ni viongozi wenu
waliokuja kwenu na kuomba muwachague kwa ahadi kuwa watazimaliza shida
zenu badala yake wanaishia kuzitumbua hizo pesa zetu wote kwa kulipana
posho, kuandaa semina zisizo na vichwa wala miguu na safari za nje za
kila siku.... badala ya kuishia kumlaumu mtu aliyechuma kwa jasho lake
na kutaka awasaidie hata wale wasiojitumikisha.

Kusaidia kwake inabaki kuwa ni hiyari zaidi kuliko wajibu.

Mwisho wa siku Diamonda anatuburudisha....weye je ?

Ahsante,waambie hao wamezidi WIVU,fanya yako Diamond mia mia.
 
^
Picha Zote Diamond alizopiga nayo hyo gari kaficha namba na kiatu
zisionekane,namshauri kwa msanii mkubwa kama yeye kutembelea gari ya
namba B bora aweke kibao cha 5m,halafu kununua magari kwa hawa
mapedejhee ni risk sana vitu vyao vingi magumashi.

WIVU mbayaaaaaaaaaaaaa!haa haa
 
Back
Top Bottom