Moudy Boka
Senior Member
- Jan 14, 2012
- 103
- 32
So sio Nbc nbank aisee
Kaka CRDB ni neno moja na sio kifupisho cha neno lolote.Kwa hy ni sahihi kusema CRDB BANK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So sio Nbc nbank aisee
Kaka CRDB ni neno moja na sio kifupisho cha neno lolote.Kwa hy ni sahihi kusema CRDB BANK
Mkuu, kwani bango ndio nini!??, hao CRDB wenyewe wamekosea, hutakiwi kusema CRDB Bank, unatakiwa useme CRD Bank au useme tu CRDB.
Kama ilivyo CRDB Bank. Ile 'B' ni Bank
Sio kweli CRDB kirefu chake ni Cooperative Rural Development Bank
Unamaanisha kuwa hizi herufi CRDB hazina maana yeyote!?, Hivi unaweza ukawa na taasisi yenye abbreviation isiyo na kirefu chochote!?Kaka unapotosha watu neno CRDB si kifupisho cha neno lolote,zamani ilikuwa ni ufupisho wa Cooperative Rural Development Bank lkn walibadili na kufuta hicho kirefu ili ibaki kuwa CRDB tu.Kwa hiyo ni sahihi kusema CRDB BANK PLC,kwa ufafanuzi zaidi nenda kapitie historia ya CRDB Bank usinyweshe watu sumu ukafanya watanzania pamoja na management ya CRDB Bank waonekane mamburula kwa kutumia neno CRDB Bank.
Kaka zamani ilikuwa hivyo lkn baada ya kuwa restuctured wakaondoa hicho kirefu na sasa inafahamika kama CRDB BANK PLC na kamwe hutasikia wakijitambulisha kama Cooperative Rural Development Bank.
Unajua maana ya PLC!?Kaka zamani ilikuwa hivyo lkn baada ya kuwa restuctured wakaondoa hicho kirefu na sasa inafahamika kama CRDB BANK PLC na kamwe hutasikia wakijitambulisha kama Cooperative Rural Development Bank.
We mama umeshaanza kuchanganya madawa, jina sio "kilwa road", ni kilwa.
Tunasema barabara ya kilwa, hatusemi barabara ya kilwa road.
Tunasema barabara ya Morogoro, sio ya Morogoro road.
Hata kwa kingereza huwezi kusema" the road of kilwa road" kwa kiswahili sasa ndio utaonekana kituko maana utalazimika kusema "barabara ya kilwa barabara"
Samahani Moudy Boka una uhusiano wowote na heaven on desert ??!
Unajua maana ya PLC!?
Kwani kuna benki Tanzania ambayo sio PLC??
Unamaanisha kuwa hizi herufi CRDB hazina maana yeyote!?, Hivi unaweza ukawa na taasisi yenye abbreviation isiyo na kirefu chochote!?
Unataka kusema kabla kirefu chake hakijafutwa( kama unavyodai), walikuwa hawaandiki hivyo hivyo CRDB Bank kwenye mabango yao!?
Kama utetezi wako ni huo kwamba neno CRDB halina kirefu, vipi kuhusu NBC na NMB!?, nayo hayana kirefu!!??
Maana nao wanaandika "NMB Bank".
Hujielewi ndugu, half ushamba mzigo.Itakuwa BMW X6 mzee! Ila sasa kwa bongo ni msanii gani anaimiliki? Labda presidenti mwenyewe!
Kwa sababu benki zote zipo hivyo, sikuona sababu ya wewe kuweka PLC kama sehemu ya jina la benki.PLC stand for Public Limited Company, benki zote zipo hivyo.Bado cjaelewa point yako ni ipi kuuliza hivyo?
Wewe umemuelewaje!!??bila shaka umeshindwa kumuelewa huyo bi mkubwa ndo maana umeandika hivi.
Msanii wa kizazi kipya diamond platinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote ktk nchi hii! Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari linatumiwa na viongoz wa juu nchini km waziri mkuu na baadhi ya mawaziri ! Inakadiriwa kuwa na dhamani ya mil 300! Ni dhahiri shairi huyo kijana sasa ametoka! ! Hongerasana naseeb!
Sembeeee km mziki inatoa basi Mzee ghurumo angekuwa tajiri mno